Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Coz matokeo yangu siyo mazuri na two ya 12 A LEVEL PCB KWA Phy S CHEM C BIOS C na hisi umenielewa mkuuKwanini Uganda mkuu
Nataka chuo chochote cha uganda cha govement mfano makelele au kampalaUnataka chuo gani? Be specific
Chuo chochote maana yake nini? vyuo viko vingi. Makerere, MUBS, Kyambogo, Mukono, Mbale KIU nkNataka chuo chochote cha uganda cha govement mfano makelele au kampala
Mkuu tembelea hapa,hili ni chuo kizuri sana, ni international university, kiko UgandaHabari za muda huu ndugu zangu,
Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi.
Naombeni msaada wa kupata shirika au hata mtu atayeweza nisaidia kupata chuo Uganda.
Asante sanaa
Duuuh! kiongozina his hatujaelewa kitu kimoja hivi kwanza kabisa shida yangu nipate taasisi mfano education link(hawa wanajihusisha na vyuo nje ya E. Africa mm nataka zinazo husika ndani ya E.Africa) wao wanisaidie au waniambie kama na weza pata chuo kwa maana elimu ya uganda mm siijui hata vigezo vyao sivijui baada ya hapo ndio niombe kwa msaada wao inshort natafuta kitu kamaaa education linkChuo chochote maana yake nini? vyuo viko vingi. Makerere, MUBS, Kyambogo, Mukono, Mbale KIU nk
Kama course hizi za kawaida baadhi ya vyuo hivyo hapo juu. Details nenda ktk websites zao.
Mkuu nimetembele ila naona hawana coz ya medical doctorMkuu tembelea hapa,hili ni chuo kizuri sana, ni international university, kiko Uganda
IUEA
View attachment 1747533
Bora tuwe weng ukipata msaada na mm naomba unijuzee maana n changamoto siku hzNa Mimi Tena kuna mtu kaomba msaada wa kozi za afya za distance learning ngazi ya degree hususa Medical lab science ndani ya Africa Mashariki au kusini mwa jangwa la sahara
Mkuu we nae kituko. Coz ya afya kwa level ya degree uipate off campus. Mh sjawah sikiaNa Mimi Tena kuna mtu kaomba msaada wa kozi za afya za distance learning ngazi ya degree hususa Medical lab science ndani ya Africa Mashariki au kusini mwa jangwa la sahara
ndio umsaidie msaada wa mawazo kiongoziMkuu we nae kituko. Coz ya afya kwa level ya degree uipate off campus. Mh sjawah sikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kiongoz ngoja nije pmKuna hiki
Makerere University College of Health Science Wana degree inaitwa Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBchB.) Wasiliana na Dean wake upate maelekezo ya namna ya kujiunga na vigezo pamoja na ada
Mawasiliano hayo chini, ukipata ugum wa kuwasiliana naye nicheki tusaidiane.
Email: dean@chs.mak.ac.ug
Tel: +256 414 530 020
List of public universities In UgandaNataka chuo chochote cha uganda cha govement mfano makelele au kampala
Rank | Abbreviation | Name of university | Location | Established |
---|---|---|---|---|
1 | BUS | Busitema University | Busitema | 2007[40] |
2 | GU | Gulu University | Gulu | 2004[41] |
3 | KABU | Kabale University | Kabale | 2001[42][43] |
4 | KYU | Kyambogo University | Kyambogo | 2003[44] |
5 | LU | Lira University | Lira | 2012[43][45] |
6 | MUK | Makerere University | Makerere | 1922[46] |
7 | MUBS | Makerere University Business School | Nakawa | 1997[47] |
8 | MUST | Mbarara University of Science and Technology | Mbarara | 1989[48] |
9 | MU | Muni University | Arua | 2014[49] |
10 | SUN | Soroti University | Soroti | 2015[43][50] |
11 | UMI | Uganda Management Institute | Kampala | 1968[51] |
Duuh! usiniambie kumbe kuna mtihani tena ss kina ss tulio iacha chem na biology miaka 2 huko si tutafukuzwa jamanKwa course za afya na law kwa vyuo vyote Uganda
Lazima ufanye mitihani yao ya pre- entry na below 50 hutaweza kudahiliwa huko intake zao ni April na September
Ada zao ni cheap na pia unapata exposure pia karibu na Kenya ila ada zao ndio zimechangamka
asante mkuuList of public universities In Uganda
Rank Abbreviation Name of university Location Established 1 BUS Busitema University Busitema 2007[40] 2 GU Gulu University Gulu 2004[41] 3 KABU Kabale University Kabale 2001[42][43] 4 KYU Kyambogo University Kyambogo 2003[44] 5 LU Lira University Lira 2012[43][45] 6 MUK Makerere University Makerere 1922[46] 7 MUBS Makerere University Business School Nakawa 1997[47] 8 MUST Mbarara University of Science and Technology Mbarara 1989[48] 9 MU Muni University Arua 2014[49] 10 SUN Soroti University Soroti 2015[43][50] 11 UMI Uganda Management Institute Kampala 1968[51]