the ultimatum
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 420
- 143
Ndugu wapendwa siku tatu zilizopita nili download game ya fifa 2014 yenye ukubwa wa GB 6.65.
Game hii inanitaka niweke activation key ili niweze kulitumia.
Nilifanya jitihada ya kutafuta keys katika tovuti ya allgamehacksnew.blogspot.com, site ambayo huwa inatoa fursa ya kupata activation keys za kila aina ya game. Nilipojaribu ku download key katika hiyo site sikufanikiwa.
Narudi kwenu ndugu mnipe msaada.
Ahsanteni sana.