Msaada wa kuondoa tattoo

Zinafutika vizuri tu tatizo bei,ajiandae na si chini ya Laki Tano,na kama ni kubwa awe na milioni na zaidi
 
Kwa Kweli mdg wako huyo mlimlea kimandazi Sana ona gharama yake Sasa

Kuna pisi Kali juz alitaka Kuja kunitembeleaa kutoka moro kuja ddm nilivyo kumbuka mitatu yake aliyo yachora mikononi nikaingia mitini
 
Kama amechora tattoo kwenye tyakko lake ninaweza kuifuta ila kama ni sehemu nyingine ya mwili no idea.
Apambane na hali yake.
 
Sio jeshini tu hata TANESCO hawakuajiri.Rafiki yangu aliifuta kwa kuchomwa chomwa na kitu kama kipen watu wa afya watakua wanakijua ila kovu lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…