Msaada wa kunusuru ndoa yangu tafadhali

Msaada wa kunusuru ndoa yangu tafadhali

Mbadilishie chakula,mpe chakula chenye virutubisho ant usitafute mchawi hapo
 
Pole, ila mawasiliano ni kitu cha muhimu sana kwenye mahusiano. Unatakiwa uongee nae kuhusu hii ishu inside out.
 
yaani ni ushauri wa toka moyoni, una kila sababu ya kuwa na mchepuko...nakusifu kwa kuwa mvumilivu...
 
Na umri unavyozidi kwenda pakiingia na bp na sugar ndo umhesabu kama baba mzazi.
By the way vumilia tu maradhi ni mengi.
 
jamaaan! pole sana dada? wameshaur wengi zaid jikabidhi mbele za Mungu zaid na mazur yafanyie kazi
 
Inawezekana wewe ni au sehemu ya tatizo. Kama hauko "active" kama hauko "hot" jama wewe sio "mchokozi"... kwa baadhi ya wanaume inakuwa shida kweli...
Hebu kuwa "mhuni" unapokuwa chumbani... hakikisha hamlali na mtoto mdogo kitandani. Kama yupo mtafutieni chumba chake... au mumeo awe na chumba chake mtoto akishalala unaenda chumbani kwa mumeo kumchokoza... mcheze, mtaniane, ufanye vituko vya kila aina... mumeo atakuwa active tena.. na utaanza kuenjoy tundi...
 
Asante,ningewa na hilo tatizo nisingekuja jamvini.asante
 
kumbe kuanzia 40's inaanza kuishiwa nguvu eeh???moja tu duuu pole....umeitwa pm nahisi utapata ufumbuzi
 
ukweli humuweka mtu huru daaa pole sana hizi ndio athari za kupishana miaka mingi ktk ndoa... ajabu mtu uko 20's saiv una date na mtu anaapproach 40 ni shida
 
Watu wengi uelewa wa hii issue uko vice versa...lakini hii ndio reality...

ukweli humuweka mtu huru daaa pole sana hizi ndio athari za kupishana miaka mingi ktk ndoa... ajabu mtu uko 20's saiv una date na mtu anaapproach 40 ni shida
 
Vumiliaaa kwa kipind hik kigum, mmeo huenda huwa anakuwa na majuku mengi hivyo huchoka saana, au nakuulize je amenepa sana? Then unatkiwa upate muda wa kuzungumzia hilo swala
vile vile pray for him
 
Back
Top Bottom