Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,204
- 99,943
Asikudanganye mtu, The Guy is still good ila ukweli ni kwamba kwa umri alionao kwa sasa kwa baadhi ya Wanaume ndio muda wa majukumu mengi, anataka maisha mazuri so he has to fight, maana katika umri huo ndio una-realize kuwa kumbe ndoto ni ndoto na vitendo ni vitendo, huwezi kuota kuwa nataka kuwa tajiri au kuwa na masiha mazuri halafu kweli ikawa, you need to fight and dedicate most of your time ili uweze kufikia lengo lako. kwahio, inawezekana mpenzi wako kwa sasa yuko kwenye hali kama hio, pengine mna watoto, pengine mna ujenzi, pengine wazazi wanawategemea, pengine school fees zinahitajika, pengine anataka kuwa na gari nzuri na maisha ambayo at least ni moderate.
Kwahio sasa, hujikuta muda mwingi akiwaza kazi, akiwaza mali, akiwaza maisha mazuri na kusahau kuwa hata hili la mke nalo ni jambo muhimu sana. Tofauti sasa iko hivi; wewe kwa umri huo uliokaaa kwenye ndoa, tayari watoto wameshakua wakubwa, pengine kazi yako au miradi yako haikubani sana wakati sasa yeye ndio anachukua jukumu la kulea hao watoto (materially na pengine morally) ndio unajikuta wewe akili yako inawaza DUSHE na yeye akili yake inawaza PESA na Future ya Watoto.
Lakini pia usichukulie nilichokiandika kama FINAL inawezekana pia mumeo akawa na matatizo mengine wakati mwingine jichunguze hata the way unavyojiweka na kujitunza na pia kwa baadhi ya nyakati hebu jichunguze LUGHA yako na tabia zako pale nyumba, unawachukluliaje wana familia yako, je una lugha mabyo ni kali au wakati mwingine watu wengine pia hupenda mwanamke mwenye msimamo wa kati, yaani sio mkali sana wala sio legelege hadi baadhi ya mambo unaelekezwa na HG.
Labda hitimisho langu na ambalo linaweza kukusadia ni kujifunza tabia ya mwenza wako, nini anataka na nini hataki, au je anapitia kwenye kipindi gani kwa sasa? nini mtazamo wake kwa watoto na maisha yenu ya baadae kwa ujumla??? Ukaishamjulia next time hutahitaji kukimbilia kwenye mitandao.
Naaminsiha kuwa hakuna specific/unique way ya kupatia tatizo lako ufumbuzi wakati hatumjui mwenza wako na hatujui tabia zako. Ni wewe tu wa kujenga au kuboma. ukiwa na zaid tuhamie PM