Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Wadau habari za hapo.?
Naomba kusaidiwa kujua laptop iliyokamilika drivers,maana nina laptop mpya,kuna mtu nimempa aniwekee window,anti virus lakini nashindwa kuconnect na wireless internet,sasa sijui shida iko wapi.? Pia nina shida ya kufanya configuration ya Outlook,nani anaweza kunisaidia...??
PC ninayotaka kujua drivres zake ni lenovo ideapad s300.
Nipo tayari hata kutoa pesa kidogo nipate kusaidiwa hayo.
Nipo Arusha.