msaada wa kuchakachua modem yangu jamani

xman

Senior Member
Apr 27, 2011
119
23
habarini wana jf, nina modem yangu aina ni huawei, model- E153u-1, IMEI:352375045146925, naitaji kama kuna mtu mwenye uwezo wa kunipa code ya kuchakachua. Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom