Msaada wa kubadili e-mail hili nipate password ya kwenye a/c yangu

ze future

JF-Expert Member
Jan 2, 2020
204
295
Habari zenu, nakumbana na tatizo la kulog-in kila nikitumia Jamii Forum App lakini nimekuja kugundua kuwa sijapokea password kwasababu wakati wa kufanya registration nilikosea kuandika e-mail itakayo nifanya niipate password na kila nikijaribu kuibadili ile email niliyoikosea inaandika kuwa siwezi kubadili kwasababu account yangu haina password. Naombeni msaada wenu.
 
Kwann usifungue acc mpya yenye email sahihi kama ile ya zaman haikuwa sahihi au mm ndo sijakuelewa!?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante sana, ila nimewahi kujaribu hiyo njia mwanzo sema ikanigomea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom