Naombeni msaada wa kuandika project yaan vitu vya kufuata ili uandike project nzuri kwa A level
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Project zote zimeshaandikwa Nenda Stationary ukanunue tu uekewe jina lako ukaikabidhi shule
Acha kujisumbua Tanzania hakuna elimu ya kuvumbua bali kuna elimu ya kutafutia Ajira tu.
Mimi Sikujisumbua kusoma hata Siku moja.. Yaani sikuwahi kuacha kulala kwa ajili ya kusoma..
Project nilinunua nikabandika Jina langu tu,
Mtihani O-leven na A-Level nilikopia, Chuo nilinunua Mtihani, Research Nilinunua,
Mwisho wa Siku Niliajiriwa kwa Vyeti vyangu bila ya Kuulizwa nilivipata vipi..
Na sasahivi Ninakula bata pamoja na Waliokesha Kwa Masomo.
AiseeeeeeProject zote zimeshaandikwa Nenda Stationary ukanunue tu uekewe jina lako ukaikabidhi shule
Acha kujisumbua Tanzania hakuna elimu ya kuvumbua bali kuna elimu ya kutafutia Ajira tu.
Mimi Sikujisumbua kusoma hata Siku moja.. Yaani sikuwahi kuacha kulala kwa ajili ya kusoma..
Project nilinunua nikabandika Jina langu tu,
Mtihani O-leven na A-Level nilikopia, Chuo nilinunua Mtihani, Research Nilinunua,
Mwisho wa Siku Niliajiriwa kwa Vyeti vyangu bila ya Kuulizwa nilivipata vipi..
Na sasahivi Ninakula bata pamoja na Waliokesha Kwa Masomo.
AseeeeeNdiyo Mkuu! Kusoma ni Ulaya sio Afrika! Wewe umeona wapi Mhitimu Darasa la Saba yupo Makao Makuu eti ni Mratibu wa Wilaya wa (TB/HIV) anam-supervise mtu mwenye Bachelor (MD) ?
Hapo ndiyo ujue kuw Ulaya ndiyo kwa kusoma, Bongo tafuta Gamba tu la kuingilia kwenye System.
Muhimu Cheque Number isome
Mambo ya Project na Research waachie wazungu
Mimi Binafsi nishauza Project kama 15 kwa mwaka wa 2018 ambazo pia nilizinunua Stationary kwa ajili ya kuziuza.
Hahaha aisee sasa uliitetea VIP iyo research chuo gani hapoNdiyo Mkuu! Kusoma ni Ulaya sio Afrika! Wewe umeona wapi Mhitimu Darasa la Saba yupo Makao Makuu eti ni Mratibu wa Wilaya wa (TB/HIV) anam-supervise mtu mwenye Bachelor (MD) ?
Hapo ndiyo ujue kuw Ulaya ndiyo kwa kusoma, Bongo tafuta Gamba tu la kuingilia kwenye System.
Muhimu Cheque Number isome
Mambo ya Project na Research waachie wazungu
Mimi Binafsi nishauza Project kama 15 kwa mwaka wa 2018 ambazo pia nilizinunua Stationary kwa ajili ya kuziuza.
Ndiyo Mkuu! Kusoma ni Ulaya sio Afrika! Wewe umeona wapi Mhitimu Darasa la Saba yupo Makao Makuu eti ni Mratibu wa Wilaya wa (TB/HIV) anam-supervise mtu mwenye Bachelor (MD) ?
Hapo ndiyo ujue kuw Ulaya ndiyo kwa kusoma, Bongo tafuta Gamba tu la kuingilia kwenye System.
Muhimu Cheque Number isome
Mambo ya Project na Research waachie wazungu
Mimi Binafsi nishauza Project kama 15 kwa mwaka wa 2018 ambazo pia nilizinunua Stationary kwa ajili ya kuziuza.
Jaman naomben msaada wa wa sumarry tu naona wote mna cheka kisa huyu muhishimiwa na tatzo jamanMkuu unaishi Karne ya Ngapi labda?
Nadhani kunasika utakuja kushangaa kukuta Makamanda wa Polisi Hususan hawa OCD na RPC wanavyeti Original kabisa vya kuzaliwa vikionesha wana umri wa miaka 48 ikimaanisha bado hawajafikia umri wa kustaafu lakini ukiwaangalia ni Wazee wa Miaka 70 ambao ndiyo umri wao halisi.