Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
Mama yangu mzazi anataka kuagiza gari aina ya swift ya mwaka 2003, Cc 1300...gharama nzima ambayo imeandikwa kwenye mtandao ni
C.I.F= $2300 nilikua nataka kujua total tax ikishafika and any other costs, naombeni msaada wenu wandugu....
C.I.F= $2300 nilikua nataka kujua total tax ikishafika and any other costs, naombeni msaada wenu wandugu....