Msaada wa kozi ya NRMA

Msaada wa kozi ya NRMA

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
kama kichwa kinavojieleza niana ndugu ambae ame aply kozi ya MASTERS IN NATURAL RESOURCES MANAGEMENT NRM
Kwayeyote mwenye kufaham ni taasisi zipi ambazo mtu akisoma hiyo koz anaweza enda kufanya kazi kwa hapa Tanzania
Nakaribisha msaada wa mawazo na ushauri kwa yeyote anae faham asisite kunisaidia kuhusu iyo kozi asanteni
 
Ujinga ujinga tu maswali ya kitoto yanaulizwa na mtu msomi ni mzigo kwa taifa inapaswa kufahamu kwa nini anaongeza elimu? Itamsaidia vipi? Miaka 5 badae atakuwa wapi? Hasara zip atazipata asipoongeza elimu?
 
Back
Top Bottom