Msaada wa nafasi ya kazi au mafunzo kazini (internship)

fyegu

Member
Oct 17, 2017
15
45
Habari wana jf, naomba kurudia Uzi huu kwa watu ambao wanaweza kunisaidia.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu mwaka 2020, Nina ujuzi Mkubwa wa kutumia computer katika program za Word, Excel, PowerPoint.

Lakini pia nina ujuzi katika strategic management, public policy analysis, customer care, performance Management, human resources management, pia Niko vizuri katika research asa katika data collection, data analysis kutumia excel, presentation, Leadership, Report writing Na nina uwezo mzuri wa kutumia lugha ya kiingereza.

Natafuta kazi either ya kujitolea au temporary kwenye taasisi yoyote hata kwenye business sector naweza kufanya Kama customer care, HR, Administrator, etc.

Nahitaji msaada wenu ndugu zangu Kwa yeyote mwenye kazi au connection yoyote itakayo niwezesha kufikia lengo langu nitashukuru sana.

Ndugu zangu naomba Sana msaada wenu ili niweze kuonesha ujuzi, maharifa na uwezo nilionao ilikukuza taasisi itakayo Nipa nafasi, pia kukuza career yangu na mwisho kujisaidia na kusaidia walio nyuma yangu.

Nipo Dar es salaam lakini naweza kusafiri mahali popote nafasi itakapo patikana.

Asanteni sana na Mungu awabariki.

Mawasiliano. 0762471725.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom