kama kichwa kinavojieleza niana ndugu ambae anahitaji ku aply kozi ya MASTERS IN NATURAL RESOURCES MANAGEMENT NRM
Kwayeyote mwenye kufaham ni taasisi zipi ambazo mtu akisoma hiyo koz anaweza enda kufanya kazi kwa hapa Tanzania
Nakaribisha msaada wa mawazo na ushauri asanteni