NRMA MWENYE UJUZ ANISAIDIE

NRMA MWENYE UJUZ ANISAIDIE

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
kama kichwa kinavojieleza nina ndugu ambae ame aply kozi ya MASTERS IN NATURAL RESOURCES MANAGEMENT NRM
Kwayeyote mwenye kufaham ni taasisi zipi ambazo mtu akisoma hiyo koz anaweza enda kufanya kazi kwa hapa Tanzania
Nakaribisha msaada wa mawazo na ushauri pia kwa yeyote ajuaye kuhusu hiyo kozi tunaweza kuwasiliana asanteni
 
Back
Top Bottom