Wakuu naomba nijue mahakama sahihi ya kupeleka kesi zifuatazo
1. Wewe ni muajiriwa, umeingia mkataba na muajiri wako usome alafu ukimaliza atakurudishia gharama zako. sasa umemaliza na ameshindwa kurudisha. Je, utaenda mahaka ya kazi au ya kwaida kupeleka madai yako?
2 Umeingia mkataba na kampuni unayofanya kazi ui supply computer 3. umesupply lakini kampuni imeshindwa kukupa hela zako. Je, utaenda mahakama ya kazi au ya kawaida?