Msaada wa kisheria: Je, ni Mahakama ipi ni sahihi kupeleka kesi hizi?

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
3,526
3,647
Wakuu naomba nijue mahakama sahihi ya kupeleka kesi zifuatazo

1. Wewe ni muajiriwa, umeingia mkataba na muajiri wako usome alafu ukimaliza atakurudishia gharama zako. sasa umemaliza na ameshindwa kurudisha. Je, utaenda mahaka ya kazi au ya kwaida kupeleka madai yako?

2 Umeingia mkataba na kampuni unayofanya kazi ui supply computer 3. umesupply lakini kampuni imeshindwa kukupa hela zako. Je, utaenda mahakama ya kazi au ya kawaida?
 
wakuu naomba nijue mahakama sahihi ya kupeleka kesi zifuatazo

1. wewe ni muajiriwa, umeingia mkataba na muajiri wako usome alafu ukimaliza atakurudishia gharama zako. sasa umemaliza na ameshindwa kurudisha. je utaenda mahaka ya kazi au ya kwaida kupeleka madai yako?

2 umeingia mkataba na kampuni unayofanya kazi ui supply computer 3. umesupply lakini kampuni imeshindwa kukupa hela zako. je utaenda mahakama ya kazi au ya kawaida?
ni hayo tu wakuu
 
Unaweza kwenda kwenye normal court kufile kesi kwa msingi wa breach of contract na ku claim damage kwa issue zko mbili
 
naomba explaination ya kisheria kwanini labda situation namba moja nisiende mahakama ya kazi
Kimsingi sikwamba mahakama ya kazi haiwezi kusikiliza inaweza pia kusikiliza lkn pia na mahakama ile ya kawaida inaweza kusikiliza
 
Unaweza kwenda kwenye normal court kufile kesi kwa msingi wa breach of contract na ku claim damage kwa issue zko mbili
Mku hbr .
Samahani kwa kuingilia mada ya Mtu mwingine kwani ninashida ya kisheria.
Naomba kujua kama mwanasheria unisaidie na namna ya kukupata.
Mimi nipo Dar Temeke ninashida ya kisheria
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom