Msaada wa kisheria: Je, ni Mahakama ipi ni sahihi kupeleka kesi hizi?

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
2,622
2,000
Wakuu naomba nijue mahakama sahihi ya kupeleka kesi zifuatazo

1. Wewe ni muajiriwa, umeingia mkataba na muajiri wako usome alafu ukimaliza atakurudishia gharama zako. sasa umemaliza na ameshindwa kurudisha. Je, utaenda mahaka ya kazi au ya kwaida kupeleka madai yako?

2 Umeingia mkataba na kampuni unayofanya kazi ui supply computer 3. umesupply lakini kampuni imeshindwa kukupa hela zako. Je, utaenda mahakama ya kazi au ya kawaida?
 

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
2,622
2,000
wakuu naomba nijue mahakama sahihi ya kupeleka kesi zifuatazo

1. wewe ni muajiriwa, umeingia mkataba na muajiri wako usome alafu ukimaliza atakurudishia gharama zako. sasa umemaliza na ameshindwa kurudisha. je utaenda mahaka ya kazi au ya kwaida kupeleka madai yako?

2 umeingia mkataba na kampuni unayofanya kazi ui supply computer 3. umesupply lakini kampuni imeshindwa kukupa hela zako. je utaenda mahakama ya kazi au ya kawaida?
ni hayo tu wakuu
 

chapangombe

Member
Sep 28, 2014
16
45
Unaweza kwenda kwenye normal court kufile kesi kwa msingi wa breach of contract na ku claim damage kwa issue zko mbili
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom