mada za utapeli mbona zimekuwa nyingi leo.Bila kupoteza muda niende kwenye mada.
Dada yangu na mume wake walinunua nyumba dodoma maeneo ya nkuhungu ambayo waliuziwa na mdogo wa mwenye nyumba basi katika hayo mauziano alikuwepo wakili wasonga maarufu sana hapo dodoma na mwenyekiti wa kijiji kama shahidi na kulisimamia hilo zoezi.
Baada ya kama miaka kama mitano kupita aliibuka dada wa marehemu na kusema kwamba alieuza nyumba mdogo wao wa kiume hana mamlaka hayo na amelaghaiwa ktk kuuza kesi ikaanza ktk mabaraza ya kata ndipo wakina dada wakaomba aletwe ndugu yao aongee au aonekane jambo ambalo walipinga ndugu wa muuzaji kwamba hayupo kapotea.
Baada ya kuhangaishana sana walianza kutembeza rushwa ndipo waliposhinda kesi na dada yangu kushindwa na inasemekana mumewe na huyo dada yupo serikalini alikuwa akitumia hiyo fursa.
Dada alikata rufaa mahakamani bado hukumu zilitoka kama mwanzo maana michezo ilianza toka katika mabaraza ya ardhi ya kata wazee wa mabaraza tayari walikuwa wanajua nini cha kufanya.
Ilifika kipindi wakili wasonga alijitoa ktk kesi kwamba kesi imekuwa ngumu kwao wakati ktk mauziano ya nyumba alishiriki na kukagua hati za mauziano za nyumba na hata kubadili umiliki wa nyumba kwenda kwa dada na mumewe na allikuwa akilipwa kila hatua gharama za huduma yake.
lengo langu naombeni msaada dada yangu alitolewa ndani ya nyumba na nyumba ikauzwa haraka sana.
pia naweza nikawa sijatoa maelezao ya kunyooka sana kama kuna atakae hitaji kumsaidia kisheria na ushauri namba zake ni hizi
0712 505 872
Mkuu, sasa hapo ametapeliwa au ameshindwa kesi? Unaweza kuthibitisha utolewaji wa rushwa unaoudai? Kwasasa imekuwa desturi, kila anayeshindwa mahakamani hudai kutolewa kwa rushwa. Nashauri uende kwa Mawakili wengine, ukiacha huyo Wasonga uliyemtaja, na kuwaeleza jambo lako kwa msaada wa kisheria na wa uhakika.
Je, msimamizi wa miradhi alikuwepo na je muuzaji hakuwa na ndugu zake na wakafanya kikao pamoja na mnunuzi kabla hawajaenda hata kwa mwanasheria kuanza michakato?kwa nini ununue nyumba ya marehemu kwa ndugu mmoja tu bila familia yake kuhusishwa...
nahisi dada yako alifanya ulaghai ndio maana mahakamani ameshindwa kesi
Je, msimamizi wa miradhi alikuwepo na je muuzaji hakuwa na ndugu zake na wakafanya kikao pamoja na mnunuzi kabla hawajaenda hata kwa mwanasheria kuanza michakato?
Utanununuaje nyumba ya familia kwa mtu mmoja bila kushirikisha ndugu zake?
Muuzaji akiwa na power of attorney inayo mruhusu kuuza nyumba haitaji mtu yeyote mwinginewatu wanakuwa wajanja wajanja ili wapate bei rahisi... wamemuona huyo jamaa ni mvuta bangi hana uelewa wa thamani za nyumba wakamlaghai awauzie nyumba kwa bei rahisi... ndugu zake wenye akili wameshtuka na kudai nyumba yao... mahakamani kweli wameonekana walaghai ... wanasema wamezulumiwa..
unazulumiwaje nyumba ambayo hata cement hujui ilijengwa kwa mfuko wa kiwanda gani?
jenga nyumba yako ndio uishi kwa amani.. au nunua kwa ushahidi ulionyooka
kwa nini ununue nyumba ya marehemu kwa ndugu mmoja tu bila familia yake kuhusishwa...
nahisi dada yako alifanya ulaghai ndio maana mahakamani ameshindwa kesi
Muuzaji akiwa na power of attorney inayo mruhusu kuuza nyumba haitaji mtu yeyote mwingine
Na muuzaji kapotea . Mh hapo sasa.watu wanakuwa wajanja wajanja ili wapate bei rahisi... wamemuona huyo jamaa ni mvuta bangi hana uelewa wa thamani za nyumba wakamlaghai awauzie nyumba kwa bei rahisi... ndugu zake wenye akili wameshtuka na kudai nyumba yao... mahakamani kweli wameonekana walaghai ... wanasema wamezulumiwa..
unazulumiwaje nyumba ambayo hata cement hujui ilijengwa kwa mfuko wa kiwanda gani?
jenga nyumba yako ndio uishi kwa amani.. au nunua kwa ushahidi ulionyooka
Hiyo nyumba ilikuwa na hati aliyopewa muuzaji na ndio maana hapakuwa na mashaka
watu wanakuwa wajanja wajanja ili wapate bei rahisi... wamemuona huyo jamaa ni mvuta bangi hana uelewa wa thamani za nyumba wakamlaghai awauzie nyumba kwa bei rahisi... ndugu zake wenye akili wameshtuka na kudai nyumba yao... mahakamani kweli wameonekana walaghai ... wanasema wamezulumiwa..
unazulumiwaje nyumba ambayo hata cement hujui ilijengwa kwa mfuko wa kiwanda gani?
jenga nyumba yako ndio uishi kwa amani.. au nunua kwa ushahidi ulionyooka