Msaada wa kisaikolojia unahitajika

I pray iishe upesi
 
Ameen, i pray iishe upesi
 
Asante sana, nimeanza kuyafanyia kazi
 
Pole mkuu. Kama ni kweli unampenda na bado unamuhitaji basi mtangulize mungu ili kujua tatizo lipo au limeanzia wapi. Naomba nikuulize swali kama hutojali. Je bado unamuhitaji ili Niweke ushauri murua ? Kua muwazi please

Ingekuwa ilivyotokea kwa mara ya kwanza ile siku ya Alhamisi akajutia then akaamua kufuta makosa ningemfikiria ila kwa sasa badala yake akaendeleza kosa hata baada ya kujua nimejua huku anasema anaomba atafakari for a week kama ana haja ya kuendelea na this relationship or what hapo kwakweli hapana.

Maana tafakari gani anaifanyia kwa mwanamme? Ndomana nilifanya maamuzi ya kwenda kwao ili tuongee kuna tatizo gani lakini hakuwepo pia nyumbani maana yake alirudi tena kule.

Ndomana nilifanya maamuzi ya kubadili kitasa cha mlango ili asiweze kuingia tena akija maana geti dogo sikuzote huwa tunaacha wazi anaweza kupita straight.

Hivo nilikata mzizi kwa mfumo huo na text sijibu
 
So encouraging brother.
I appreciate, nimepata nguvu za kutosha sana[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Asante sana mkuu.
Barikiwa
 
Asante sana Mkuu.
Nimeupokea ushauri na naufanyia kazi.
Pia leo nimeanza kuchelewa kutoka kazini na jioni naingia tizi
 
I got you brother.
Nalifanyia kazi
 
I appreciate, umenipa moyo thabiti.
Najikuta hata ile moyo kulipuka sana unapungua
 
Nimeamini kwa hizo text zake na sijajibu tangu jana ili nisimkaribishe shetani mara ya pili
 
Jambo zuri la kushukuru taa nyekundu imewaka mapema,sisi wengine tulioa kabisa na kuambiwa baba mtoto alipokimbilia sipajui maana kaniacha na mimba.

"Kumbe jamaa kajisogeza yupo jirani,maisha haya ndugu zangu???"""
 
Unamng'ang'ania mwanamke mwenye mtoto? Wee jamaa una matatizo ya akilii aisee acha ujingaa kaa chini Shukuru Mungu amekuokoaa na mengi makubwa yangekukuta mbelenii.

Siri ya mtoto aijuae mama wew unasema baba wa mtoto alikufa ilaaa unapotezwaa maboyaaaa. Acha ufalaa Jikazee msahau kabisaa na pia USIMPE TENA NAFASI YANI AKIRUDI MTIMUEEE.
 
Asante sana, ninaamini hilo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…