Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,970
- 35,342
Pole rafiki.Nimekubali matokeo, japo leo alikua anafosi aje kwangu kabla sijaingia kazini. Nikampotezea
Pole rafiki.Nimekubali matokeo, japo leo alikua anafosi aje kwangu kabla sijaingia kazini. Nikampotezea
I pray iishe upesiPole na tuliza akili, fikiria magonjwa ya zinaa ya kila aina. Anawachezea kama kitenesi, huyu ukiendelea naye yatakuja kukukuta ya juzi ya kaka wa TBS na nyumba yake ya Bagamoyo.
Vitu hutokea, ili wengine tujifunze, hayo maumivu ni ya siku chache utamsahau.
Ameen, i pray iishe upesiPole na tuliza akili, fikiria magonjwa ya zinaa ya kila aina. Anawachezea kama kitenesi, huyu ukiendelea naye yatakuja kukukuta ya juzi ya kaka wa TBS na nyumba yake ya Bagamoyo.
Vitu hutokea, ili wengine tujifunze, hayo maumivu ni ya siku chache utamsahau.
Asante sana, nimeanza kuyafanyia kaziHaikuwa rizikyako na Wala haikupangwa awe wako
Kujiumiza kwaajili ya mtu ambae ankula anashiba na analala Kwa mwanaume mwenzio ni matumiz mabaya ya akili relax kubali tu yaishe Kula vizuri vaa vizuri fanya kazizako vizuri ukipata muda enjoy life is too short
Ukijipa thamani sikutatu zinatosha kumsahau
Mkuu ishi hapa Kwanza huyo mwanamke anaonekana anapenda kuchezea ya Kila mtu



Pole mkuu. Kama ni kweli unampenda na bado unamuhitaji basi mtangulize mungu ili kujua tatizo lipo au limeanzia wapi. Naomba nikuulize swali kama hutojali. Je bado unamuhitaji ili Niweke ushauri murua ? Kua muwazi please
So encouraging brother.Nimesoma huu uzi moyo ukaanza kwenda mbio utadhan mi ndiye mtendwa. Anyway, sijawahi kukutana exact situation kama hiyo, ila situation za mapenzi za kuumiza nshakutana nazo.
Like moja iliyowahi kunila sana ni manzi yangu wa muda mrefu alijazwa kibendi na mdau mwingine...ilinila si kidogo. Ila Sikuomba mtu ushauri. Maana najua katika mapenzi, hata ushauriwe vipi, mwamuzi wa mwisho ni wewe.
Ikabidi tuu nijipe muda. katikati ya maumivu hayo, nikachagua kujipa muda maana binafsi nilishindwa niamue nini. Alikuwa ni mwanamke ambae alifahamika hadi kwetu.
Yeye alikuwa tayari kuendelea na mimi maana hata aliyemjaza kibendi alimchinjia baharini. Mtihani kwangu ulikuwa ni kuamua niendelee nae tu au nipotezee...nilimpenda sana.
Hatimaye muda ukajibu. Nikajikuta nimepata ujasiri wa kumtamkia SIKUTAKI. Na hapo moyo wangu ulikuwa wazi kabisa kwamba simtaki. Alilia nakunibembeleza kwa kila meseji. Mimi muda ulishaniponya, hakufanikiwa.
Alifanikiwa kujifungua mtoto wa kike. Ilikuwa 2015 hiyo. And as i speak ni single maza.
Mimi baada ya muda mrefu nikafanikiwa kupata my match. Katoto flani kabichi kabisa, nikawanako in relation kwa miaka mingi, kakanifurahisha, nikakaoa, saii tuko na 3yrs boy na kibendi kingine.
So chakukushauri hapo 'TAKE YOUR TIME'. Maamuzi sahihi yanahitaji muda sahihi.



Asante sana mkuu.Maumivu unayopitia ni ya mida mfupi tu. Ni kama maumivu ya kutairiwa..kwa sisi tulio tairiwa bila ganzi tunajua mziki wake..lakini yalipita na leo tupo.
Mimi huwa naona mwanamke akikuacha unatakiwa kushukuru, tena kushukuru sana. Maana hamjafika mbali. Ukilazimisha tu kiendelea naye majuto na maumivu yake yatakuwa mara 1000 zaidi.
Asante sana Mkuu.It's ok bro, kama mtu ulimpenda kwel, ni sawa kabisa bro upo sahihi
Kukosa hamu ya kula ni sawa, kukosa usingizi ni sawa na ufanisi wako wa kazi kushuka ni sawa pia baada ya kuzinguliwa na mtu uliyempenda sana
Hapo ni wewe kwanza ukubali hali halisi kwamba she is gone, then jipe muda utamsahau tu huyu malaya, huwez kumsahau Kwa usiku moja, huwez kumsahau kwa wiki moja, sio chini ya wiki tatu bro ndo utakaa sawa
Kata mawasiliano naye kwa njia yeyote ile, iwe sim , kupitia mtu au ana Kwa ana, yani usitake kujua yupo wapi, na nani, anafanya nini, yani potezea mazima, futa namba, sijui hao ndugu zake kata mazoea yani kata.
Utamsahau lakini subr muda upite ndani ya huo mda kata nae mawasiliano
I got you brother.Move on bro, najua kwa mliyoyapitia hii hali haiwezi kuondoka kwa siku moja ama kwa haraka ivyo,
Kubali matokeo though yanauma
Tuliza akili usimsumbue kumtafuta kwneye simu maana kuna siku atakujibu shits utatamani kujiua
Take time relax jichanganye na wana
Fanya mambo ambayo huwa yanakupa furaha on her absence.....
Kinachouma hapo ni mazoea na namna gani watu watakuchukulia wamezoea kukuona naye.
Me shuhuda wa hilo kuna binti tumekuwa naye for 3yrs now lakini amekuja kuchukuliwa na mwana ambaye alikuwa ni x-wake, kibaya zaidi hao wote wawili tupo nao kikundi kimoja so imagen unahitaji ku move on na unawaona kila siku wako pamoja..... time heals nimepona kwa sasa niko poa .
Usikate tamaa, dont bullshit yourself men
I appreciate, umenipa moyo thabiti.nilikua na mwanamke pia tulikua tuko poa chemisrtry ipo you name it basi ikaokea nikahama mkoa nikaenda mkoa mwingine akawa anakuja tunakaa basi siku moja mida kama ya saa kumi na mbili akaniambia usiku mwema nikasema mbona mapema akaniambia ndoivo mimi nikatulia zikapita siku 3 bila sms wala kupiga hata kubeep na whatsapp namuona yuko oneline . nikajua tayari wahuni washamharibu akili kesho yake amabayo ni siku ya nne ananiafuta ananiuliza uko poa as if hakuna kilichotokea nikamwambia kuwa na amani ishi kwa uhuru kama unaona nakuletea vikwazo basi tusijuane akakaa kimya nikakaa kimya. Siwezi kudanganya niliumia sana ila ni nature ya mwanaume kukaza na kujiamin na kuwa na msimamo uliothabiti.
Mwanamke anafikiri kwa hisia na mihemko na yeyote atakayetaka kushindana naye katika hali hii lazima ashindwe hijalishi ni kaka, baba au hata mama yake mzazi. Piga kifua sema mimi ni mwanaume tembea nje fanya kazi panga mambo yako usimtafute na akiutafuta mkazie mwisho wa siku ndio kukua huko na mwisho
MWANAMKE AMABAYE ANATAKIWA AKUSUMBUE AKILI NI MAMA YAKO MZAZI PEKEE
Duuuh, asante broAchana naye nimeishi nao hao masingle mo zaidi ya wa4 wote bila bila ...
kimbia aisee acha ata viatu kila kitu kimbia mtoroke usije ukanaswa aisee utakujakuchomwa moto kama siyo kujiua mwenyewe
Nimeamini kwa hizo text zake na sijajibu tangu jana ili nisimkaribishe shetani mara ya piliUtapotea bila sababu,fikilia malengo uliyojiwekea wafikilie watu wanaokutegemea katika maisha yako,kupoteza ufanisi kwa mtu km huyo,nikuwakosea watu waliokuamini kwanzia kwenye kazi unayofanya na jamii kwa ujumla,huyo mwanamke kajua madhaifu yako kuwa wewe huwezi kumuacha,na atakutesa Sana unachotakiwa kufanya ni kumuonesha kuwa unaweza kufanya maamuzi ya kiume
Asante sana, ninaamini hiloDuh,pole sana mkuu,wanawake wapumbavu kama Hawa ndo wanawafanya single mothers wasiaminioe,hata wale wenye Nia njema na wanaojitambua,limtu linapendwa then analeta ujinga,mkuu mwache aende ila atakuja jutia upendo wako kwake,hatapata wa kumpenda kama ww trust me
Hapana Mkuu.Mwambaaa ww na huyo manzi mlikuwaa mnaishii kigambonii!!!!mwanae n wakike???
Sent using Jamii Forums mobile app
USIJIBUUU NA AKIJA MTIMUEEE... mkuu usiwee falaa aiseeee mwanamke akijua unampenda ndo atakufanya wee zezetaa acha ujingaa yani Mkazie hasaa usimjibu wala kupokea simu ana akija mtimueNimeamini kwa hizo text zake na sijajibu tangu jana ili nisimkaribishe shetani mara ya piliView attachment 2497464
Hapo ulikuwa sahihi mkuu
