Msaada wa kisaikolojia unahitajika

Msaada wa kisaikolojia unahitajika

alikwambia baba mtoto kafa alijupeleka kaburini ukajiridhisha jina la kaburini na la cheti cha mtoto ni sawa?!? if not umeliwa..

suala la pili shukuru umeachwa salama bila magonjwaa maana huyo angekuja kukuua nayo siku jwa jinsu anaonekana mtaalam wa draft..

move on mwana, wanawake wako kibwena tena wazuuuuuri hata hawajazalishwa!
Asante sana.
Kuhusu marehemu mpk process za mirathi mimi ndo nilimsaidia
 
Kiufupi ni hivi huyo jamaa na binti hawajaanza leo wala jana, inaonekana wakati ambao ulikuwa naye huyo jamaa alikuwa mbali naye na hivyo karudi. Kimaana nyingine hapo ushaachwa, hakuna mapenzi tena na hata kama akirudi kutoka kwa huyo jamaa baada ya kuachana. Basi elewa ipo siku atakupiga tukio kama hilo na kuondoka tena.

Hivi sasa unachotakiwa kufanya ni kukubali umepoteza, huwezi kuwa nayee tena. Unaumia sababu bado moyo wako haupo tayari kukiri hilo, na ukiendelea kuwa hivyo itakuletea maradhi makubwa ikiwemo presha, utakuja kuingia kwenye ulevi wa kupindukia au uvutaji sigara uliyopitiliza.

MOVE ON FOR YOUR OWN GOOD, hali kama yako ishawahi kunikuta nikiwa chuo hadi nikaja kupata sup mbili za kizembe mwaka wa mwisho na nikaja kukaribia kuboronga project yangu. Ila niliokolewa na kitu cha kwanza nilichotakiwa kukifanya ni hicho.

Pia hakikisha unaondoa kumbukumbu zote ambazo zinazoweza kukufanya ukamkumbuka, kuanzia picha hadi mawasiliano yake na ufanye kama hukuwahi kukutana naye kabla. Kumbukumbu zake zikitoka ni rahisi sana kumsahau.

Pia usipende kukaa peke yako mara kwa mara, hakikisha ni mtu wa kujichanganya sana lakini usiangukie kampani za ulevi au uvutaji sigara. Muda huu una kidonda cha kuumizwa zitakuharibu kabisa.

Nakuomba umnyamazie kimya usimtafute yeyote wala kumlalamikia kitu, hata huko ofisini ukikutana jifanye kama hukuwahi kumwona kabla na hakuna kitu kati yetu. Na usijioneshe ni mwenye mawazo kwake, wewe endele na mambo yako kama kawaida. Hakikisha anakuona haupo sawa na haujaathiriwa na lolote.

Kama mlishachumbiana na ukalipa gharama zingine samehe na endelea na mambo mengine kama vile hakijatokea kitu. Mambo ya kudai vitu ni ya kishamba hayo, waachie kila kitu.

Pia usije ukatafuta mwanamke mwingine kwa lengo la kumkomoa ili ajue nawe umepata, muda huu ambao haupo sawa unatakiwa ufanye ishu zingine zote kasoro hayo mambo. Maana hautapata unayemtaka zaidi ya kukurupuka tu na kuchukua yeyote.

Mwisho kabisa nakushauri umshukuru Mungu sana amekuonesha huyo mwananke jinsi alivyo mapema, hafai kuweka ndani na ni wa kuishi tu bila mume. Hili ni onyo lake amekupa, ili uachane naye na kuangalia kingine. Aliyekuumba amekuokoa na janga, sasa wewe hakikisha unajiepusha nalo usije ukakimbilia kulivaa tena. Hata akirudi kwako analia amepiga magoti usije kukubali katu kurudiana naye, ukidanganyika basi elewa utakuja kulia machozi ya damu.

Hukupangiwa kuishi naye na kumuoa huyo, wewe shukuru Mungu kwa kukuokoa mapema. Ukiona maumivu basi elewa ni jambo jema amekuandalia sasa usikimbilie alichokuepusha nacho.

Pia siku nyingine ukija kupata mzuri wa tabia na kila kitu, hakikisha hajui ni namna gani na usimpe attention kubwa. Vinginevyo atakusumbua sana na kukuhangaisha
Brother you said it all.
Taken
Asante sana na ubarikiwe mno.
 
Fanya mazoezi,move on mzee,
Kunguru afugiki,unataka ushauri gani tena?
All in all ushapigiwa sana....
Amua sasa hata tukikushauri mpaka kesho la zaidi sikiliza moyo wako,ukiamua kuendelea ni shauri yako
nawaelewa sana wakuu
 
Maumivu hayo ni ya muda tu, yatatoweka kisha maisha yanaendelea.

Swali la kujiuliza; umeshathibitisha kuwa huyo CHUDA ni malaya ambaye amekuchanganya wewe na mwanaume mwingine....akitejea kwako hapo utamkubalia muendeleze penzi lenu kama ilivyokuwa?

Kumbuka: usioe / kuolewa kwa kumuonea huruma , sema na moyo wako
Asante sanaaa
 
Kwanza mshukuru Mungu!

Unataka kuoa mwanamke mwenye Mtoto KWA ndoa kabisa we jamaa Ili iweje!!?

We hapo ulipo una Mtoto!?ambaye utafanya naye kolabo!?

Kama upo single na huna Mtoto why ukomae na mwanamke MWENYE Mtoto!?

Miungu na mizimu ya kwenu imekusaidia Sana kijana!shukuru sana Mungu!

Unajua madhara ya kuchukua mwanamke aliezaa tayari nje na wewe huna experience ya kulea au kuwa na Mtoto!???

Alijichanganya mdogo wangu mmoja hivi timbwili lipo anza ndio akanambia mke alienae ana Mtoto na mzee anajua!niliwaka kishenzi yaani Acha KABISA!nikawauliza KWANINI mlificha !eti watu walipe Sana wao KWA wao hakuna haja ya kuingilia!nikawaambia upendo pekee sio sababu kuu ya kuingia kwenye NDOA!niliwamaind kichizi Hadi leo nikawaacha na ujinga wao usiotibika!!!

Unapokua fresher start with a fresher and vice versa is true!!!!

I rest my case!
 
Sasa mtaalam ulikuwa unakimbilia kuoa tena singo mama ili ugundue nini?

Punguza spidi mtaalam, relax, totoz zipo nyingi. Tafuta mwingine ila wazo la kuoa litoe kwanza. Usije kimbilia kuoa ukahisi unamkomoa singo mama kumbe unajikomoa mwenyewe.

Mwisho usirudie kosa la kumpenda sana na kumuamini mwanamke yoyote, tutakuzika mapema mtaalam.

Over and Out.
Nimejifunza mkuu
 
Habari zenu wakuu.
Mwenzenu yamenikuta, naombeni msaada namna ya kucontrol hii hali.

Mimi ni kijana wa 34yrs hv, nilikua na mahusiano na mdada mmoja ambae kwangu alikua rafiki, mshkaji na kama ndugu. Yeye ana 31yrs ana mtoto mmoja ambae baba wa mtoto ni marehemu.

Twende kwenye kisa, mahusiano haya yalikua serious kidogo na tulikua na mipango ya kukamilisha taratibu zote mwishoni mwa mwaka huu ili ndoa ifanyike.

Sasa wakuu kisa cha kunileta kwenu kupata ushauri imetokea BREAK UP YA GHAFLA SANA, jambo ambalo linaniumiza sana sina utulivu kisaikolojia.
Moyo wangu unadunda kupita kawaida, sina hamu ya kula, usingizi shida na ufanisi wangu katika kazi umepungua mno.
Kusema ukweli huyu mwanamke nilimpenda sana nae alionesha kunipenda na kunijali sana kwa namna alivyokuwa akifanya kwa muda mfupi ambao nimekua nae.

Kwanza yeye alikua anaishi kwa wazazi wake na nilikua na mazoea ya kumtembelea na ndugu zake tunafahamiana.
Alikua anatoka kazini na kuelekea kwao ama wakati mwingine anakuja kwangu, anaweza akakaa wiki zima kisha anarudi tena kwao weekend.
Sasa wiki iliyopita aliniaga juu kwa juu akiwa kazini akisema anaenda kwao ameitwa na mama yake mkubwa, nikasema sawa.

Tangu jioni ile mawasiliano yakawa ya shida sana, ilikua siku ya Alhamisi. Basi nikajua Ijumaa atakuja maana kwa kipindi hiki ni mfululizo wa mwezi mzima alikua hapa kwangu. Mara Ijumaa ikapita, Jumamosi, Jumapili mpaka namwona Jumatatu.

Anakuja amebadilika yuko serious sana si kama nilivyomzoea ananiambia ana mambo ya kuongea nami mengi sana, nikasema sawa keti tuongee. Yuko busy na simu.
Nikachukua simu nikaweka pembeni. Namwambia tuongee hana cha kusema mara anaanza kukusanya nguo zake.
Vipi tena?

Anasema nataka nichukue nguo za mtoto, nikiangalia anakusanya nguo za mtoto plus kuchanganya na zake. Basi nikatulia nijionee, akamaliza lile zoezi akaanza kuaga, nikamwambia mbona leo mapema mapema? Maana kwa kawaida hata kama amekuja na kuondoka same day huwa anaondoka jioni kabisa sasa siku hiyo nikasmell something fish.

Nikataka kuchukua simu, nione mawasiliano ya mle akawa mbishi kidogo akidai kuna msg sitaki usome humo. Msg gani akasema kuna vitu vya siri tumechat na mama. Nikamwambia its okay, text za mama mimi sisomi akaniacha.
Kuanza kusoma kuna namba ngeni imetext mara nyingi ikiita mke wng.. mke wng, na last text ya kwake ametuma ikisema chaji inaisha simu inazima soon!

Daaah, nikasema huyu mwamba atakua ndie anaemrubuni. Nikachukua namba, nikaweka kwa simu yangu. Akaaga na kutoka, sikumtoa kbs. Nikaipiga ile namba jamaa akapokea, nikamuuliza kuhusu mhusika akajibu anamfahamu ni mtu wake kitambo na alikua nae tangu Alhamis jioni na kaacha mtoto kwake hata ule muda tunaongea ameaga anaenda Serikali za mtaa.

Basi nikamwambia nashukuru, nilitaka tu nijue hilo maana sioni busara kuanza kugombea mwanamke. Tukaishia.

Sasa kinachoniumiza ni situation ilotokea kwa ghafla na mwanamke amenitext leo kuonesha kujutia, nikasema km ni kweli ngoja nijiridhishe aliko leo. Baada ya kutoka kazini nikachukua usafiri mpaka kwao, huku tunachat.

Nimefika nikamuuliza uko wapi? Anashindwa kujibu, mara anauliza kwani umeniona wapi?
Nikajua shits goes on! Nimerudi zangu home nimetulia ila sipo sawa kabisa.

Wataalam wa hizi incidents nifanyeje ili nikae sawa bila kuangukia kwenye mambo ya kunidhoofisha kiakili na kiafya?

Nawasilisha.
View attachment 2496610
 
Pole mkuu, binafsi nakuelea vyema.

Pata mtu unaemuani na kukuelewa zungumza nae kuhusu hili.

Ushauri wangu achana na huyo mwanamke, fut kila kumbukumbu uliyo nayo kwake, moyo utauma sana ila jikaze hili litapita usifanye kosa kumrudia, narudia usifanye kosa kumrudia.
Brother, nimekuelewa sana.
NEVER NEVER AGAIN!!!
 
Pata Chai ya Rangi ya motoooo Vikombe Viwili...
Utakuja kunishukuru badae
 
man, at age of 34yrs bado unateseka na ishu hizo!!!

sio kweli, unapoenda karibu sana kuliko ulipotoka acha kuwaza hao viumbe kwa namna iyo, havipendeki ivyo viumbe...

34yrs ingia kwenye mahusiano mapya ki machale la sivyo yatakukuta mambo km hayo ambayo ulitakiwa uyapitie ukiwa 18-25 umri ambao utakuwa unayo time ya ku recover, ila kuteseka na mapenzi ktk umri huo basi utakuwa unajikosea heshima mwenyewe
 
Unamng'ang'ania mwanamke mwenye mtoto???? Wee jamaa una matatizo ya akilii aisee acha ujingaa kaa chini Shukuru Mungu amekuokoaa na mengi makubwa yangekukuta mbelenii.. Siri ya mtoto aijuae mama wew unasema baba wa mtoto alikufa ilaaa unapotezwaa maboyaaaa. Acha ufalaa Jikazee msahau kabisaa na pia USIMPE TENA NAFASI YANI AKIRUDI MTIMUEEE.
Nimekusoma rikiboy mzee wa kimasihara, leo umekuwa serious bro.
Nimekuelewa sana
 
USIJIBUUU NA AKIJA MTIMUEEE... mkuu usiwee falaa aiseeee mwanamke akijua unampenda ndo atakufanya wee zezetaa acha ujingaa yani Mkazie hasaa usimjibu wala kupokea simu ana akija mtimue
Nimebadili kabisa kitasa cha mlango na ninarudi mida mibovu
 
Back
Top Bottom