azyzy omary
JF-Expert Member
- Dec 8, 2020
- 875
- 1,306
Mkuu usirud nyuma songa mbele na ujipe thaman mwenyew yeye ndo kakupoteza ww
Nikupostie video ya Marehemu Ruge akilia kama mtoto baada ya kutemwa na Zamaradi?Umia sekunde then sepa.Sema mwanaume usipokuwa na hela,unageuga zuzu kweli.Kibosile alilie mapenz thubutuu
Copy that ! overDelta 2 do you copy....code red we've been hit..man down

Unaumiza kichwa kwa kusalitiwa na malaya? Shukuru Mungu umemjua kabla haujafanya maamuzi magumu ya kumuweka ndani.
Kinachoonekana wewe umempenda sana huyo singo maza zaidi ya yeye alivyokupenda na ameshajua. Hutokuja kuacha kuona kila rangi hapo. Atakupeleka msobe msobe na utakuja na thread nyingi sana za malalamiko humu.
She is for the streets. Tafuta mwanamke wako utulie nae. Huyo hata ukija kumuoa utachapiwa sana! Hajakupenda!
Yeah,hili nina uhakika 100%
Mkuu, we acha tu.Mapenzi yanakufanya unashindwa kula!!? Mbona mnauchosha mwili kizembe aisee

Asante sana nimechukua hiiNanukuu.
"Basi nikamwambia nashukuru, nilitaka tu nijue hilo maana sioni busara kuanza kugombea mwanamke".
Muache aende huyo sio wako tena
Asante sanaAmekusudia kufanya hicho kinachoendelea na anajua fika unaumia, refer text yake ya mwisho pichani
Hilo liliniuma, mpk nikauliza huyo mtoto anajifunza nn. Kila mtu babake kweli??Move on move on bro, hao single mother ni watu wasiojielewa kabisa ilinitokea hiyo mwezi wa 9 naelewa maumivu yake but jipe moyo yatapita.. huyo mwanamke pasua kichwa yeye kila kwa mwanaume anaenda na mtoto wake
Asante sana.Bro, lazima iume and that's the first step kwenye maumivu ya kisaikolojia
Nimekubali matokeo, japo leo alikua anafosi aje kwangu kabla sijaingia kazini. Nikampotezea
Nashukuru BroUnaumiza kichwa kwa kusalitiwa na malaya? Shukuru Mungu umemjua kabla haujafanya maamuzi magumu ya kumuweka ndani.
Kinachoonekana wewe umempenda sana huyo singo maza zaidi ya yeye alivyokupenda na ameshajua. Hutokuja kuacha kuona kila rangi hapo. Atakupeleka msobe msobe na utakuja na thread nyingi sana za malalamiko humu.
She is for the streets. Tafuta mwanamke wako utulie nae. Huyo hata ukija kumuoa utachapiwa sana! Hajakupenda!
Thanks mkuuToughness is in the soul and spirit, not in muscles!
move on yatapita!
AsanteWachuchu wapo wengi wewe, tafuta mchuchu mwengine weka ndani...
Asante mkuuHer loss mkuu, yeye ndo kakupoteza.. fikiria mindset ya hivo jipe thaman acha kukaa kinyonge man