Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,187
Nimependa utunzi wako
unapaswa kutafuta maarifa ya kiroho kwani hufikiri kwamba kuna mambo ya kiroho, fanya jitihada kwani unaacha ukweli na kujishika na upande mmoja tu wa maisha, usichelewe kwani muda unakwendabinafisi nimeishia kucheka tu
Asante sana nashukuru mnoNdugu pole kwa haya yote na fanya hivi: kwanza kutokana na maelezo yako, na Roho anavyoniambia wewe:
Ushauri: acha kufikiri kuwa lazima usali sala ndefu kila siku ili utoke hapo ulipo. Acha kufikiri kuwa ukianza kusoma Biblia utatoka hapo ulipo. Njia pekee ni YESU KRISTO. Tumia dakika 1 tu asubuhi na jioni kusimama popote ulipo hasa unapoamka na kabla ya kulala. Fanya hivi: ONGEA NA YESU JAMBO MOJA TUU! MWAMBIE "BWANA YESU WEWE WAJUA YOTE KUHUSU MIMI, NINAKUAMINI NA WEWE NI MWOKOZI WANGU KUANZIA SASA. NAOMBA UNITOE KATIKA UTUMWA WA DHAMBI, UTUMWA WA SHETANI NA WATU WAKE, NIWEKE HURU BWANA ILI NIKUTUMIKIE, NAOMBA HAYO KATIKA JINA LA YESU KRISTO MWOKOZI WANGU"
- kwa ujumla ni mtu mzuri tu ndani ya moyo wako hata kama kwa sasa humtii Mungu lakini moyoni mwako huna nia ya kumuasi Mungu ila inatokea kwani bado hujaamua kumweka Mungu mbele
- pia hujamjua Mungu kwa undani pamoja na kwamba upo wazi na tayari kumjua na kumtii hata kumtumikia kwa nguvu zako zote lakini inaonekana malimwengu yamekusonga sana
- una kipaji kikubwa kwa kazi ya Mungu na vita ni kali sana katika maisha yako lakini siku moja utashinda
- umeanguka na kusimama kila wakati na hata hujui kama utaweza kuacha makosa yako lakini kwa nguvu za Mungu utaweza endelea kuomba
- maumbile yako yanatumika hata katika ulimwengu wa roho kukufanya usiende hatua mbele kiroho na hata kimwili
- ndio, haufanikiwi katika mambo ya kimaendeleo kwa sababu ya vita hii
- shetani amepata pahali pa kujikita na anajua kwamba hapo ndipo anapoweza kukukamata kwani kwa sasa bado wewe huoni utawezaje kuacha raha za dunia na kutulia katika mapenzi ya Mungu wako
- akina dada wenye nia mbaya na wachawi wakubwa wanatumika kukukamua kiroho, kimwili na katika kila njia kwa njia ya kujamiiana na wanakuunganisha vizuri katika ulimwengu wa giza na hapo kweli umekamatwa ni Yesu pekee anaweza kukuondoa hapo
- warembo wa kila aina wanakuja kwako kirahisi lakini sio kwamba wewe una bahati bali hao wametumwa rasmi kwa maangamizi yako
- niseme huwezi kufanikiwa mpaka hutoke hapo ulipo na kwa njia ya maombi na moyo uliopondeka kwa Mungu (unyenyekevu)
- muda mrefu umepita kila ufanyacho hakifanikiwi lakini hata hivyo bado hujui kwanini na umekuwa uki relax tu kwani huna frustration kwani shetani anakupa raha za kukupumbaza kwa kukujaza mawazo ya marafiki wanaokuzunguka kwa wingi
Omba hivyo kila siku inatosha na usiache kuomba, ongeza maneno mengine kadiri unavyoona, UTAFUNGULIWA TUU!!!
Ubarikiwe