msaada wa king'amuz cha al jazeera

msaada wa king'amuz cha al jazeera

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
13,369
Reaction score
30,011
from heading wadau naomba kusaidiwa wap ntapata kin'gamuz ambacho kinaonyesha al jazeera sports na gharama zake zinakwendaje including gharama ya dish, receiver, and malipo yake kwa mwaka or mwez yakoje! naomba kuwasilisha
 
nenda kariokoo mussa telecomunication utapata vyote,gharama zake jumla ni around ya 1m.
 
tanx kaka kwa kariakoo wako sehem gan maana k,koo ni kubwa au kama una mawasiliano yao ningeomba tafadhal
 
Back
Top Bottom