luhagiza samson
New Member
- Aug 6, 2018
- 4
- 0
Jamani wana Jamii naombeni msaada wa kimawazo nahitaji kwenda Nairobi kwa kazi ya saluni ya kike but sijajua ni sehemu ipi inafaa ,hata kodi zao za nyumba zikoje kwa mwezi
Sasa kama hupajui utaendaje?
Bado sijatikawaza umeshafika Nairobi