princeNathan
Senior Member
- Apr 5, 2023
- 167
- 335
Nikiwa muhitimu wa shahada Moja miaka miwili nyuma kwenye kada ya IT ila nimeomba degree nyingine na nimechaguliwa kozi ya mechanical engineering chuo fulani hapa Tanzania, Je wakuu mnanishauri vipi nipige hiyo mechanic au!
Hii ni baada ya kukosa ajira mbali mbali nilipoomba, nahitaji ushauri wa kimawazo na sio matusi ipi itanisaidia kuhus umri bado kijana mdogo nilimaliza degree ya kwanza nikiwa na miaka 24 kwasasa ninayo kama 26.