Anaingiza hicho kiasi kwa mwezi bwashee,soma kwa makini.Kama unaingiza laki 250 kwa siku unashindwaje kulipa hilo deni panga hesabu zako vizuri
😀😀😀😀😀😀😀😀Nakushauri uza ulichonacho ulipe deni uwe free, otherwise kama anayekudai hana usumbufu.
Nakushauri uza ulichonacho ulipe deni uwe free, otherwise kama anayekudai hana usumbufu.
DaaaNakushauri uza ulichonacho ulipe deni uwe free, otherwise kama anayekudai hana usumbufu.
HujaelewaKama unaingiza laki 250 kwa siku unashindwaje kulipa hilo deni panga hesabu zako vizuri
Hata angekuwa mpole, inaonekana tu deni lipo sumbufu kiasili.... linaongezeka kadri anavyozidi kukaa naloNakushauri uza ulichonacho ulipe deni uwe free, otherwise kama anayekudai hana usumbufu.
Fany umachinga wakufanya delivery nenda madukani pale kitumbini jumua miswaki,viwembe, socks na pipi sambaza maduka ya reja reja mitaani natumai utanipatia hiyo pesaHabari wana JF , nina Deni la 9M linanisumbua sana ili niweze kilimaliza nna hitaji kila mwezi nipate 900k lasivyo litazidi ongezeka .
Wana JF hapa mfukoni nna 2.2 M nifanye shughuli gani inisaidie kulimaliza maana linaongezeka na mimi kibanda changu cha M pesa /tigo/airtel na halo pesa kina uwezo wa kuniingizia 200-250 k kwa mwezi na kwa sasa sina Kazi .?
Ma GT wa GF bhanaKama unaingiza laki 250 kwa siku unashindwaje kulipa hilo deni panga hesabu zako vizuri
Rafiki yangu hapo kazi ipo! Hapo jitahidi tu kubuni vyanzo vingine vya mapato tofauti na hapo mambo yako yatakua zofuri hali!Habari wana JF , nina Deni la 9M linanisumbua sana ili niweze kilimaliza nna hitaji kila mwezi nipate 900k lasivyo litazidi ongezeka .
Wana JF hapa mfukoni nna 2.2 M nifanye shughuli gani inisaidie kulimaliza maana linaongezeka na mimi kibanda changu cha M pesa /tigo/airtel na halo pesa kina uwezo wa kuniingizia 200-250 k kwa mwezi na kwa sasa sina Kazi .?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fany umachinga wakufanya delivery nenda madukani pale kitumbini jumua miswaki,viwembe, socks na pipi sambaza maduka ya reja reja mitaani natumai utanipatia hiyo pesa
Inawezekana kabisa kwa biashara hiyo mkuu mtaji alionao atatengeneza 50k _70k kwa siku kama yupo dar lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo rahisi mkuu
😎Ma GT wa GF bhana
Ndo maana huwa sipendi kukopaRiba ni mbaya sana, Ndo mana uislamu umepiga marufuku riba na riba ni haramu,ona sasa mdaiwa anawaza nyongeza kuliko deni halafu mdeni yupo tu amerelax anataka kuchkuwa hata kisichokuwa chake
Hii sina uzoefu nayo sanaInawezekana kabisa kwa biashara hiyo mkuu mtaji alionao atatengeneza 50k _70k kwa siku kama yupo dar lakini