Msaada wa kimapenzi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kimapenzi!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Miken, Feb 19, 2011.

 1. M

  Miken Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwamba nimesoma makala nyingi sana juu ya kitendo cha kupiga punyeto,kila mwandishi ameandika kivyake.Hivi karibuni nimesex na demu wangu bila shida na wiki ijayo ninampango wa kumeet na mwingine huku nashawishika bado kupiga nyeto.Je ntaweza mzigo?
   
 2. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  acha uzinzi.
   
 3. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wala usione kama ni sifa!!
   
 4. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Una jini mahaba wewe nenda kaombewe.
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  vp mkuu hii thread yako nadhani ulikua unaandika akati umelewa ka pombe zishaisha kichwani hebu jaribu kuipreview na uhakika uataona aibu kwa upuuzi uliotuletea tujadili hapa
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,908
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama unakamua mademu na bado una hamu ya kupiga nyeto basi ni athari ya kisaikolojia..
  Cha muhimu jitahidi uache manake itafika kipinda una mke ndani lakini ukawa hauridhiki naye mpaka upige nyeto..
  Madhara yake physically ni pamoja na kupata uchovu haraka pale unapofanya kazi ngumu, na pia viungio hasa magoti kukosa nguvu. Psychologically ndo kama hivyo muda wote utataka kufanya..
   
Loading...