Msaada wa internet kwenye samsung galaxy s3

Msaada wa internet kwenye samsung galaxy s3

baraka muyabi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
162
Reaction score
58
habari wana jamvi, nilikua naomba msaada wa kuactivate internet kwenye simu yangu aina ya samsung galaxy s3 , hapa ofisini ninapofanyia kazi kuna wireless inakubali tatizo nkitoka tu inagoma kushika mtandao...inaniandikia "authentication via the proxy server was unsuccessfully"
 
ni yako au ya ofisi? haina vpn?

pia jaribu kucheki apn possibly mtu kakuekea proxy, nenda setting, more network, mobile network, access point then ifungue ambayo ipo active shuka hadi kwenye proxy kama ipo proxy (inakuwa mfumo huu xxx.xxx.xxx.xxx) itabidi utengeneze apn mpya kama hamna kuna tatizo jengine
 
Back
Top Bottom