msaada wa IDM

msaada wa IDM

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
wakuu naweza pata wapi idm yenye full verson nimejaribu kuinunua torrent lakini inaniambia nifanye registration sielewi kiukwel.... hiyo ni moja then kama mtu anaweza akanitatulia tatizo la antvirus kuandika AUTORUN BLOCKED FOR YOUR SECURITY kila nikichomeka external memory inasbabishwa na nn?
 
mkuu kitendo cha kusema tu uliinunua kutoka torrent tayari inaonyesha hujui ulikuwa unafanya nini...nia kubwa ya watu kukimbilia kwenye torrents ni kutaka kupata vitu full version bila kununua..so kwa kukushauri unapoenda tena kudownload torrent chagua ile iliyoandikwa full version na au ina keys/crack kisha soma na comments za watu kama inafanya kazi ama lah..
 
asante sana mkuu imekubali kiulaini sana ...na vp iyo shida ya pili?
 
Back
Top Bottom