Msaada wa hizi namba

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Habarini wanaJF,siku za nyuma (mwaka jana) kulikuwa na thread iliyohusu namba za kuweza kuzuia cm yako isipatikane endapo mtu anakupigia au kutuma meseji bila ya kuzima,simu inakuwa hewani kama kawa lakini ukipigiwa hupatikani,na ukitaka kutoa unadial hizo namba kwa style ingine,naomba msaada kwa mwenye kufahamu,mimi nimesahau kwan nilikuwa nazo lakini nimebadili cm na laini ,ila tu nakumbuka zilikuwa za mtindo huu *#0035# na ukitaka kufungua #*0035#,(Huo ni mfano tu sikumbuki zenyewe zikoje) mwenye nazo au kumbukumbu nazo anijuze!
 
Jeff unataka ya nn hii? au unapokuwa unachakachua nje cup hutaki bughudha za kupigiwa so wataka mbinu hiyo?
 
Nimejaribu Bw Kisusi Mohamedi nashukuru imekubali BIG-UP kwa elimu yako na JF wote
 
Back
Top Bottom