Msaada wa hizi Modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa hizi Modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by commited, Aug 26, 2012.

 1. commited

  commited JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  wakuu habari zenu
  ninaomba mwenye ujuzi wa kuchakachua hizi modem za (airtel, na zantel) lengo ni kutaka nitumie pesa yangu kwa wakati mrefu zaidi
  nimefikia hatua hii kwa sababu 1. Mwanzoni nimekuwa na modem ya voda (model- k3570-z ce 1588, imei 359592035452237) hii imecrash kwenye pc yangu haikonect,
  2. Nikanunua modem ya zantel wakati huo walikuwa watoa gb 5 kwa sh 15,000 sasa hivi gafla imeshakuwa 20,000 lakini tatizo ni coverage yao ni ndogosana na inasumbua sana hasa haya maeneo ninayoishi (soweto-moshi), kwa hiyo network ni shida (zantel modem,model huawei ec 122, fcc id:qisec 122)
  3. Now nimenunua aitel modem yenye kuingia line zoote, tatizo nao ni coverage yao hapa maeneo ya soweto ni shida, lakini sasa ukiweka line ya voda inakuwa fasta sana but daaaha wanakata pesa sijawahi ona muda si mrefu dakika 5 zilizopita ninimejiunga na cheka (internet mb 150 kwa tsh 2500, siku 1) lakini tayari ndani ya dakika 5 imeshakata sasa , tena hapo nimrbrowise page 2 tu za jf tayari imekata,

  tafadhali mwenye kujua jinsi ya kuchakachua hizimodem anisaidie ili pesa yangu iendane na uhalali wa mb/gb nazopata.


  Karibuni wajuzi mnisaidie
   
 2. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Dissable automatic updates haraka
   
 3. commited

  commited JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mkuu fadhili nisaidie kidogo una dissable utomatic update kivip funguka kidogo mkuu, ili unisaidie
   
 4. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
 5. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekutumia PM. Nipo Moshi.
   
 6. commited

  commited JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
Loading...