Msaada wa hii simu imenishinda

Msaada wa hii simu imenishinda

bora ahamie kwenye brand pendwa( tecno)

brain is the beautiful part of the body.
Zina matatizo lakini yanataturika hata ukigoogle unapata msaada haraka kwenye forums kuliko tecno unagoogle unaambulia patupu.
Siyo kwamba brand nyingine za gari mbovu ila kwa tanzania toyota ndiyo ina spares nyingi na mafundi wanazijulia.....
 
Back
Top Bottom