SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,340
- 3,565
Naomba kujuzwa hatua zote za kufuata kama machapisho, hariri za vitabu na zinginezo zinazofuata baada ya mwandishi/mtunzi kumaliza kazi yake. Na mahali kampuni zinazojihusisha na mambo hayo kwa dar es salaam, bei zake na mengineyo yanayoweza kusaidia kwa asiyefahamu kabisa kuhusiana na mambo hayo.
Ntashukuru sana kwa msaada wenu...!!
Ntashukuru sana kwa msaada wenu...!!