ni kwenda kwao kujitambulisha,ila sasa hataki kwenda huku akiwa mjamzito
Majaribu hayo mkuu... Mwambie unampenda sana, lakini unampenda sana mwanao mtarajiwa pia. Mwambie hauko tayari kwa namna yeyote kushiriki kumuua mwanao. Mwambie akijaribu kufanya abortion ajue amekupoteza na wewe...
Hoja yake ni ya kipuuzi... nadhani unatakiwa uwe mkali hapo kama mwanaume. Mwambie atake asitake, kwake mnaenda. Kama anabisha unatafuta namba ya mama/shangazi yake unamwambia kuwa wewe na mwanae mnatarajia kupata mtoto...
huyo dada mbona hasomeki,ashukuru upo pamoja nae na umeukubali ujauzito.kama anajiona amekosea kwenda kwa wazazi na ujauzito,kama wazazi wapo understanding watamuelewa,yeye sio mtoto na upo tayari kumuoa,komaa nae hiyo mimba asiitoe,yaani mtu ajiue kwa sababu ya mimba.mbona huyo dada hayupo strong hivyo?wewe cha kufanya kama unamfahamu ndugu yake yoyote muelezee ili maybe awe na mtu mwengine wa kumshauri na sio wewe peke yako.maybe itasaidia
hataki na mimi nipo tayari na ujue tunaishi pamoja mpaka sasa
kasema anataka kuitoa,nisipomsaidia katika hilo zoezi atajiua,na hawezi kwenda peke yake mpaka na mimi niwe nae wakati zoezi linaendelea,nimetingwa hapa nilipo vyote hataki
thanx mkuu ujauzito ni wa miezi miwili,tatizo anasema bado mapema kwenda kwao,nilimshauri kwa nini tusiende hata kwa wazazi?ili mambo mengine yafuate?yote hataki
huyo dada mbona hasomeki,ashukuru upo pamoja nae na umeukubali ujauzito.kama anajiona amekosea kwenda kwa wazazi na ujauzito,kama wazazi wapo understanding watamuelewa,yeye sio mtoto na upo tayari kumuoa,komaa nae hiyo mimba asiitoe,yaani mtu ajiue kwa sababu ya mimba.mbona huyo dada hayupo strong hivyo?wewe cha kufanya kama unamfahamu ndugu yake yoyote muelezee ili maybe awe na mtu mwengine wa kumshauri na sio wewe peke yako.maybe itasaidia
yaani hiko ndio ashukuru wangapi wanapata hizo mimba za kwenye Majani na vijana wao
ndio wanawakana au kuwa mstari wa mbele kuwaambia wakatoe....kapata mtu anaeonesha support sijui
anataka nini.....aibu kila mtu anadhaniaga ni aibu fedheha watanionaje.....lakin fedheha ya kuua hiko
kiumbe je.....unawaza kuhusu wengine watanionaje watanifikiriaje na kusahau this is all about you...
mi sielewagi nikisikia mtu anataka kutoa mimba nakasirikaga sana...kaka angu naomba msifanye hiko kitu
najaribu kumwambia anasema atafanya mbinu zozote atatoa,akipata matatizo mi si ntawajibika na ntaonekana vipi kwa wazazi wake?
boss hiyo kitu ni yangu kabisa,na naijua mpaka siku inaingia wala sikutanii,na tunaaminiana sana,tatizo anasema aibu kwao,sijui niwasiliane na wazazi wake maana tukio la kutoa mimba,sio ishu kabisa
mkuu kwani wewe una umri gani je uyu manzi wako?....
labda huna ela..