ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
- Thread starter
- #21
ngosha unauhakika mimba yako??jamaniii kila nikiclick naona huyo dada hana hoja zaidi ya madudu tu.Boss inaweza ikawa si yako anaona dawa ni kuitoa mimba tu sababu kama ndoa upo tayari,kulea mtoto mpo tayari na kikubwa mnaishi pamoja aibu ya kuishi na mwanaume bila ndoa haioni ila anaiona ya mtoto mweeee
boss hiyo kitu ni yangu kabisa,na naijua mpaka siku inaingia wala sikutanii,na tunaaminiana sana,tatizo anasema aibu kwao,sijui niwasiliane na wazazi wake maana tukio la kutoa mimba,sio ishu kabisa