msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,142
hekima kaka ichukue mkondo wake maana nakuheshimu sana,kama huna mchango unapita tu
Amekushauri ufikirie nje ya box! Kuwa mtoto wa kwanza sio tatizo la yeye kutokua tayari kuingia kwenye ndoa. Lipo tatizo ambalo hujaambiwa kaka!! Ninyi ni watu wazima, yeye anajidai yupo primary school. Kama angekua hataki ujauzito angekushauri utumie kinga mkuu!
Ni mtazamo tu!