Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

Ana yake mambo. Anaishi kwa mwanaume bila ndoa eti atatia aibu kwani wakati mnatiana alitegemea nn zaidi ya mimba. Mruhusu afanye anachotaka atakupasua kichwa bure.
 
Ndugu polle na kutingwa!!
Please kua na msimamo na one final stand!!
Mkalishe mwambie mara moja bila kutorudia tena
Asitoe mimba muende kujitambulisha uoe haraka!!
P.S : kutingwa kwako kuna dhohofisha msimamo wako!! Kulia mwanamke kawaida koz vigumu kujitambua kama ki umri wake ni mdogo pia!
Wewe ndo kichwa cha familia ijacho!! Msimamo wako unaanza sasa!!
Baraka za mtoto ni za ajabuu!! Utakumbuka tu siku moja huu msemo
 
Nashukuru kupitia ushauri wenu,mwisho wa siku kakubali kutotoa hiyo mimba tena moyo wote
 
Nashukuru kupitia ushauri wenu,mwisho wa siku kakubali kutotoa hiyo mimba tena Kwa moyo wote
 
umempenda sana zaid ya akupendavyo yeye,usiforce ndoa kaka kwa mtu asiye tayari.kuna hiv upande wake(kwa huyo dem)
1.hiyo mimba yawezekana c yako.
2.yawezekana ikawa mimba yako but hataki ndoa na wewe.
3.hajakupenda kwa dhat.
USHAURI:usilazimishe mtu akupende au ucpende pasipo pendeka utakuja kuumia mwenyewe.ukweli kaka huyo demu anaogopa kwakuwa umekufa na kuoza kwake.
ANGALIZO:akijakuambia ukweli kuwa hakupend na hayupo tayar kuwa mkeo tafadhar uje fasta tunakusubir hapa jamvin tukukumbush

Good Advice
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom