Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

Mwenzako anatatizo la kisaikolojia maswali yote anajiuliza ni kama under 18 ,mpeleke wa washauri maana hajitambui bado! na hayuko responsible kwa maisha yake na maamuzi yake .narudia tena mpeleke kwa washauri wamsaidie kujitambua. Hilo tatizo dogo
 
dah! Pole xana kaka kikubwa ninachokushauli mshilikishe mungu ktk hili naamini atalidhia kuitwa mama kwaxaxa na ndoa mtafunga hayo nimajalibu yashetani 2.
 
we ni mwanaume nakushauri utumie akili kumshawishi mfunge ndoa mapema ili kunusuru hali hiyo na pia msije mkawaza kutoa mimba!!!!!
 
we ni mwanaume nakushauri utumie akili kumshawishi mfunge ndoa mapema ili kunusuru hali hiyo na pia msije mkawaza kutoa mimba!!!!!

msimamo wake wa sasa kama sitaki kushiriki kuitoa ni bora tuachane tu
 
dah! Pole xana kaka kikubwa ninachokushauli mshilikishe mungu ktk hili naamini atalidhia kuitwa mama kwaxaxa na ndoa mtafunga hayo nimajalibu yashetani 2.

thanx sana kwa ushauri
 
Mwenzako anatatizo la kisaikolojia maswali yote anajiuliza ni kama under 18 ,mpeleke wa washauri maana hajitambui bado! na hayuko responsible kwa maisha yake na maamuzi yake .narudia tena mpeleke kwa washauri wamsaidie kujitambua. Hilo tatizo dogo

Lukub ntafanyia kazi ushauri wako,japokuwa nikimwambia kuhusu kwenda hata kwenye ushauri anakana na kusema,yeye atajiua,mungu ananiona ningekuwa nimemkataa sawa,
 
mnapaswa muanze taratibu fasta .. kabla mimba haijasogea zaidi.

kama anazidi kukataa basi analake jambo.

fanyeni simple.
 
If I I were you ningetafuta Dr tena hosp ya maana namset kwamba binti ntakuja naye akifika Dr amwambie inabidi kwanza afanyiwe vipimo feki na matokeo aambiwe kutokana na uchunguzi wa maumbile yake name mtoto alivyokaa tumboni na bla2 nyingine mimba ikitolewa options ni mbili tu kutokuzaa tena in her life time au kufa.alamsiki
 
he makubwa poleee ngosha wa watu kwa yanayokukuta ndoa hataki,mimba bila ndoa anadai unamtia aibu kwao at the same time mnaishi kinyumba.Jamaniii wonders shall never end watu8 njoo uone makubwa mengine sasa huyo mama kijacho umemuuliza anataka nini ndo kakujibu anataka kujiua?

Hahaha...mdada alikuwa anafurahia tu utamu wa dudu akasahau kuwa yule ni nyoka kuna wakati huwa anatema sumu...
 
wanawake wengine bana sasa wakati anafanya alitegemea nn?? umepanda mbegu unakimbia mavuno aah aah !!!!!
 
thanx mkuu ujauzito ni wa miezi miwili,tatizo anasema bado mapema kwenda kwao,nilimshauri kwa nini tusiende hata kwa wazazi?ili mambo mengine yafuate?yote hataki

analake jambo!!
 
Kama ni miezi 2 fanya uende kwao kujitambulisha haraka kasha baadae mtawaeleza kuhusu ujauzito huo, kuhusu harusi inabidi asubiri hadi atakapojifungua tu hakuna jinsi hapo kaka. Pia watafute watu wenye busara wakusaidia kumshauri mpenzi wako au waweza mpeleka hata kwa mwana saikolojia kwa msaada Zaidi wa kumweka sawa kwa kipindi hiki. Kutoa kuna risks nyingi sana mkuu.
 
kama hataki kuzaa na wewe kwasasa basi huyo hana future na wewe yupo kujishikiza tu kwa maana hiyo kama anataka kutoa afanye jambo hilo in her own risk asikuhusishe wala usihusike kwa lolote.
 
Mimi na mpenzi wote ni
wafanyakazi kabla hatujaenda kwa wazazi kujitambulisha,imetokea mpenzi
wangu kapata ujauzito,na anasema hayupo tayari kuzaa kwa sasa,sababu
kubwa kwao ni mtoto wa kwanza na itakuwa aibu kuwa na mtoto kabla ya
ndoa,analia kila muda na amani haipo kabisa,nashindwa nifanyeje na mimi
sina tatizo kuhusu huo ujauzito,hapa nilipo nimetingwa,maana anasema ni
bora anywe sumu tu afe,msaada ushauri wenu kwa hili tatizo

najaribu kumuelewa mama kijacho but simpati vizur...kuna siri ndani ya io relationshp ambayo huijui...just be wise in your decision
 
Mimi na mpenzi wote ni wafanyakazi kabla hatujaenda kwa wazazi kujitambulisha,imetokea mpenzi wangu kapata ujauzito,na anasema hayupo tayari kuzaa kwa sasa,sababu kubwa kwao ni mtoto wa kwanza na itakuwa aibu kuwa na mtoto kabla ya ndoa,analia kila muda na amani haipo kabisa,nashindwa nifanyeje na mimi sina tatizo kuhusu huo ujauzito,hapa nilipo nimetingwa,maana anasema ni bora anywe sumu tu afe,msaada ushauri wenu kwa hili tatizo


Kama ni mtu mzima anayejibumbua, nakuwa nawasiwasi na mapenzi yake kwako!

Lakini vilevile naona kama vile kuna something behind the scene.!!!
Kwa nini anafikia hatua ya kutaka kujiua? Una uhakika alikuwa tayari kuishi nawewe?
Mie naona anaumia kwa sababu kamsaliti mtu mwingine anaempenda zaidi!
Kuwa makini.
 
hataki na mimi nipo tayari na ujue tunaishi pamoja mpaka sasa
Huyo binti anamatatizo tena makubwa, hataki kuolewa huku mnaishi pamoja anaona raha kumegwa tu, mwambie akatoe halafu uendelee kumega tena mpeleke akatoe ili asije akakufia bure,. angekuwa anaheshimu familia yake na yeye anajiheshimu angethubutu kuishi na mwanaume kabla ya ndoa?! huyu ni msanii
 
mi skushauri hata usogelee kwao kujitambulisha maana utapata aibu kubwa. Kwa majibu machache niliyoyaptia hapa inaonesha wewe kwa huyo mwanamke "sio wake wa maisha, bali wa muda, wa kuzugia, wa kufurahia ngono tu" kinachomzuia kukupeleka kwao hakjulkan, kinachomsababisha akulazmishe dhambi ya uuaji anakijua mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom