Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Wana jf..naomba yoyote anaefahamu ni jinsi gani naeza kununua bando la internet ya zantel...na kuituma kwenye namba yangu ya moderm ya zantel. nimejaribu kuwapigia zantel bt hawapokei.