Msaada wa Haraka

Naisoma360

JF-Expert Member
Jan 23, 2015
820
491
Nimelipia NACTE tokea tarehe 31/07/2016 hadi sasa hawajanitumia USERNAME na PASSWORD

Nimewapigia namba zao Nyingi Hawapatikani na nyinginezo ni bize sikuzote hizi nne muda wote......Nifanyeje?
 
Nimelipia NACTE tokea tarehe 31/07/2016 hadi sasa hawajanitumia USERNAME na PASSWORD

Nimewapigia namba zao Nyingi Hawapatikani na nyinginezo ni bize sikuzote hizi nne muda wote......Nifanyeje?
ni kwamba ukilipia hawakutumii username bt huo mtandao unaotumia kulipia ada yao ndo watakutumia code sehemu ya pili wa kufanya maombi unapaswa uziweke hapo ili uweze kuendelea na maombi yako
 
ni kwamba ukilipia hawakutumii username bt huo mtandao unaotumia kulipia ada yao ndo watakutumia code sehemu ya pili wa kufanya maombi unapaswa uziweke hapo ili uweze kuendelea na maombi yako
Wamesema watanitumia username na password kwenye Namba ya Simu au email address, nikiweka tena ile code wanasema imeshatumika nisubiri hizo username na pasword
 
Kuna mtu aliapply mwaka jana
akapata chuo lakn kwa kuw ni
inservice hakupata ruhusa.
Mwaka huu ameenda kuchukua
barua akaiambatanisha na
maombi ya kufanya udahili upya
lakn mpaka saiv akichek profile
ameandkiwa kuw ni
mwanafunz wa koz fulan chuo
fulan kama mwaka jana.
Afanyaje ukzngatia na za
helpdesk azpatkan?
 
Back
Top Bottom