msaada wa haraka wadau

vunga g

Member
Sep 5, 2011
83
37
Wadau habari zenu,naomba msaada wa jinsi ya kutuma files from iphone4 to nokia phone natanguliza shukrani
 
sidhani kama inawezekana. kwa kawaida iphone haziruhusu files sharing tena from iphone to nokia. tumia itunes kuliweka kwenye pc then unaliweka kwenye nokia. kuna app flani ya iOS ya bluetooth inaweza kufanya hii kitu ila sio free app!!! na cna hakika kama inaruhu kutuma kwenye device tofauti na iphone na ndugu zake
 
alternative jaribu ku upload hilo file then tumia nokia kulidownload tafuta space online hasa hizi free webhosting zitasaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom