Kila la kheri!
Nzuri sana, jamaa wanatengeza aiseeNdege ya chini hiyoo
Unayo kaka, umekuwa nayo kwa muda gani? Zina ABS? Comfortability, durability, vipi ?Nzuri sana, jamaa wanatengeza aisee
Shukran kwa highlight kakaNiliwahi kusikia shock absorber za mbele ni mawe hivyo zinaumiza sana mabega au mikono kwa ujumla, zinanesa huku zinakuumiza maana sio soft