Msaada wa haraka wa kumtahiri mtoto

Msaada wa haraka wa kumtahiri mtoto

Mdogo wangu sikuwai kumsikia anasumbuliwa na UTI hata siku moja!!haya maswala ya UTI na govi..ni wewe tu na usafi wako?!!na mdogo wangu nilimtahiri akiwa amemaliza diploma Mwaka uliopita wa KOMBE la DUNI!! akiwa na miaka 24!??na alipona ndani ya siku 25 tu kidonda chote kikaponaa!!!chaajabu leo hii UTI ndio imeanza kumsumbua baada ya kukatwa gv??
Mkuu hii uliyoleta ni chai kabisa, kibamia na kuwahi kutahiri kunahusiana nn?.
Tena sasa hv govi linapigwa vita sana kwa sababu linasababisha maradhi mbalimbali kwa mtoto hasa hasa UTI,
 
Mdogo wangu sikuwai kumsikia anasumbuliwa na UTI hata siku moja!!haya maswala ya UTI na govi..ni wewe tu na usafi wako?!!na mdogo wangu nilimtahiri akiwa amemaliza diploma Mwaka uliopita wa KOMBE la DUNI!! akiwa na miaka 24!??na alipona ndani ya siku 25 tu kidonda chote kikaponaa!!!chaajabu leo hii UTI ndio imeanza kumsumbua baada ya kukatwa gv??
Mkuu kweli ni noma, 24 yrs unasema umemtahiri kweli ukiwa na govi akili zote zinakiwa za kitoto
 
Hapo ni yeye monyewe alisema..sasa nipeleke ukanitahiri..nikasema sawa sawa haha!!na alikua na wachumba kibao sasa sijui alikua anafanyaje
Mkuu kweli ni noma, 24 yrs unasema umemtahiri kweli ukiwa na govi akili zote zinakiwa za kitoto
 
Mdogo wangu sikuwai kumsikia anasumbuliwa na UTI hata siku moja!!haya maswala ya UTI na govi..ni wewe tu na usafi wako?!!na mdogo wangu nilimtahiri akiwa amemaliza diploma Mwaka uliopita wa KOMBE la DUNI!! akiwa na miaka 24!??na alipona ndani ya siku 25 tu kidonda chote kikaponaa!!!chaajabu leo hii UTI ndio imeanza kumsumbua baada ya kukatwa gv??
Sawa mkuu.
Ila kidonda cha govi kwa mtoto mdogo hata wiki hakimaliza kwasababu ni fresh wound kwahiyo kinaheal chap tu. Hilo nimekuambia by experience ya watoto ambao walisumbulia na UTI ila ilitoweka baada ya kufanyiwa tohara. Sijasema wote wanapata hiyo hali.
 
Ooh sawa sawa..hata cha mdogo wangu hakikumaliza week alikua ameshatoa yale ma bandeji!!maana kile kipindi kilikua cha baridi sanaa hapa darslam
Sawa mkuu.
Ila kidonda cha govi kwa mtoto mdogo hata wiki hakimaliza kwasababu ni fresh wound kwahiyo kinaheal chap tu. Hilo nimekuambia by experience ya watoto ambao walisumbulia na UTI ila ilitoweka baada ya kufanyiwa tohara. Sijasema wote wanapata hiyo hali.
 
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?

Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Acha huo ushauri
Mi nilitaka atailiwe siku ile kazaliwa dr. kashauri mtaili akimaliza mwezi, wa pili nae katailiwa ana 2 weeks sijaona shida yo yote kwa hao watoto kuwataili sasa hivi kachelewa sana huyo mzazi
 
Akili na govi zina uhusiano gani? Hebu leta somo mkuu...!!
Mkuu mtu akiwa na govi psychologically anakuwa afected ndo mana mpaka huyo mdogo wake ana miaka 25 bado amekubali apelekwe na kaka yake akatahiriwe wakati ni mtu mzima ambaye anaweza kufanya maamuzi sasa anaamuliwa na kaka yake
 
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?

Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Hakuna lolote watoto wanatahiriwa wakiwa na siku 7 na haipunguzi wala kuongeza kama amebarikiwa amebarikiwa tu na kama wakukosa kukosa tu
 
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?

Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Sio kweli...Wengi wametahiliwa utotoni hawana Vibamia..Amini nakwambia
 
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?

Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Muache, siku hizi hawakatwi kama zamani, kuna rings zinaitwa shangring...wanavalishwa kama pete baada ya siku tatu dudu inakua safi kabisa...its safe, very safe for both kids and adults
 
Nipo serious mkuu....ukuajo lazima uathirike kwamaana energy kunwa itatumika kuponesha kidonda na sio kukulisha dudu vizuri
Mkuu sikuhizi hawakati dudu, wanavalisha pete baada ya siku tatu dudu inakua safi kabisa, Acheni kumtisha jamani, tena kwa huyo mdogo wa six months ni rahisi maana hatahisi maumivu kabisaa, huyo mkubwa kwanza lazima wampe usingizi kidogo wakati wa kuvalisha pete, halafu atakua anahisi maumivu kidogo asubuhi dudu ikisimama
 
Naona huu uzi mnajadili mkono wa sweta kwenye mjegejo ehhh....[emoji851][emoji851]
 
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?

Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Sidhan kuwahi kumtahiri kunafanya dudu iwe ndogo,labda kama kuna madhara mengine,mm wangu nimemtahiri ana mwaka na nusu sasahv ana miaka 8 na dudu iko vzur ya maana,ahahaaa
 
Back
Top Bottom