Msaada wa haraka unahitajika

Status
Not open for further replies.
Wife kanikimbia kakomba kila kitu,ndani
Mpaka pesa niliyo kuwa naiweka ndani kaondoka nayo nayo,kaniachia mtoto.
Hivi nahitaji kupata kiasi hicho ili niweze mpeleka mtoto kwa bibi yake mbeya.
Pole, mwanamke wa wapi huyo mnyama hivyo. Duhh. naona umesema Mbeya
 
Ni kwa Mara ya kwanza naomba msaada humu jf,
Nina shida na 200000.

Maana Niko pabaya, kwa ambaye yupo tayari kunisaidia Tafadhali, anisaidie, nitamrudishia.
Msaada jamani watanzania wenzangu,
Hili tatizo linaniumiza kuisha kwake ni mpka nipate hiyo fedha,
Ubarikiwe

Namba;0746901701

Ahsanteni
wakuu nimepata watu wakunisaidia kwa hili suala,

Tafadhali usitume kiasi chako cha pesa,

Ahsanteni sana kwa ushauri
Mungu awabariki
Pole Sana imekuaje hadi akakukimbia? Samahani Nahuyo wife wako nikabila gani? Mbona kakurudisha nyuma sana
 
Ni kwa Mara ya kwanza naomba msaada humu jf,
Nina shida na 200000.

Maana Niko pabaya, kwa ambaye yupo tayari kunisaidia Tafadhali, anisaidie, nitamrudishia.
Msaada jamani watanzania wenzangu,
Hili tatizo linaniumiza kuisha kwake ni mpka nipate hiyo fedha,
Ubarikiwe

Namba;0746901701

Ahsanteni
wakuu nimepata watu wakunisaidia kwa hili suala,

Tafadhali usitume kiasi chako cha pesa,

Ahsanteni sana kwa ushauri
Mungu awabariki
Wewe si unasema umekufa ‘died’
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom