Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,652
Anajiendekeza tu.Msiwe na roho mbaya enyi walimwengu kama unaweza msaidia basi toa msaada upite uende huyu nae ni mwanadamu anapokwama ni sawa kabisa kuja hapa madhabahuni kuomba msaada tuwe waungwana.
Watu 40,mkimchangia 10,000 kila m'moja atapata hilo hitaji lake hebu tuwage na huruma muda mwingine.
Kuna watu wanashida tena shida haswa hiyo ya kwake cha mtoto.
