jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
Unasema??Mimi si mnyakyusa,,
Jina halina shida yoyote
Unasema??Mimi si mnyakyusa,,
Jina halina shida yoyote
Haimaanishi chochote ila naona nakaribia kuwa ivoUser name??
Nilikuwa na duka la bidhaa za matumizi ya kawaida ya nyumbani,
Ahsante
Bado hujatushawishi.Wife kanikimbia kakomba kila kitu,ndani
Mpaka pesa niliyo kuwa naiweka ndani kaondoka nayo nayo,kaniachia mtoto.
Hivi nahitaji kupata kiasi hicho ili niweze mpeleka mtoto kwa bibi yake mbeya.
Haimaanishi chochote ila naona nakaribia kuwa ivo
Pole sana mkuu... Mlioana au mlikuwa mnaishi tu kinyumba?Wife kanikimbia kakomba kila kitu,ndani
Mpaka pesa niliyo kuwa naiweka ndani kaondoka nayo nayo,kaniachia mtoto.
Hivi nahitaji kupata kiasi hicho ili niweze mpeleka mtoto kwa bibi yake mbeya.
Yani unavyoipangia bajetiHapa inabidi ninunue vyakula vya kumuachia mama na niache pesa inayobaki, siwezi kwenda kumuweka mtoto kwa mama mikono mitupu wakati yeye ndiye aliyekuwa ananitegemea Mimi, imenibidi niache pesa walau auze hata nyanya wakati Mimi napambana.ni kutokea nguruka mpka mbeya




Mbona umejihami mapema?😁😁Watu wa humu daah!msaidieni jamani kaka ukishindwa niletee nilee huyo mtoto miye.Ila masharti tusitongozane.
Unasema??Daaa jamaa yaan ulivyoomba kirahisi hv mpaka nmejikuta nashindwa kukushangaa,unajua ungekuwa na maelezo ya kutushawishi mfano ukaweka detailis zako halisi,picha yako,ya mwanao na ushahid kuwa mkeo kakimbia na ikiwezekana picha ya unapokaa na hicho chumba coz ulivyokuja kirahsi hvyo hata baharesa mwenyewe hawez kukusaidia
Naweza Leo nisiaminiwe ila kesho ukaniamini
Mpka inatokea hivi ni mengi yamenisibu
Huu unaweza kuwa ni mwaka wangu
Wa kuhadithia
Watu wa humu daah!msaidieni jamani kaka ukishindwa niletee nilee huyo mtoto miye.Ila masharti tusitongozane.


Mbeya kwenda na kurudi siti moja ni 40,000, mara Mbili ni 80,000 hapo akifika kule inabidi amuweke bi mkubwa sawa pesa ya uji wa mtoto at least 50,000...... Sasa hauoni hiyo 200,000 ni reasonableAnataka ya kwenda na kurudi, na ya kula njiani... utasema anaenda kwenye sherehe.
Maisha sio rahisi kiasi hicho.Ahsante