Msaada wa Haraka; Tecno P3

Msaada wa Haraka; Tecno P3

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Nimenunua Tecno P3 mda c mrefu lakini nikiingiza lain yangu ya voda inakua haisomeki nini tatzo jamani?
:help::help::help:
 
na warranty huna.

yani ukinunua simu za kichina jiandae mambo kama hayo, hazina waranty hazina wakala hazina sehemu ya malalamiko support ni zero
 
ni tatizo la line yako cheki na line ingine...
afu mbona tecno yeyote unapewa 1yr warranty
 
Hki kitu n hatari wakuu. I love ths phone
 
na warranty huna.

yani ukinunua simu za kichina jiandae mambo kama hayo, hazina waranty hazina wakala hazina sehemu ya malalamiko support ni zero

Si kweli, nafikiri inategemea umenunulia wapi, bongo tunachakachua sana. Ukininulia Nairobi na warranty unapewa. Tena line yoyote inakubali bila matatizo.
 
mkuu exactly namanisha hivo kuchakachua na sio kwamba natuhumu kiwanda. tetesi ninazosikia kwenye vijiwe vya kahawa ni kua dar kuna kiwanda cha tecno ambacho sidhani hata kama kimesajiliwa. sitegemei sehemu kama hiyo kupewa waranty au kutoa suport simu inapokua mbovu kama hv
 
lain za voda michosho sana sikuhizi usipoweka vocha mwez ni kosa,chek na lain nyingine mkuu...
 
Nimekuelewa mkuu, yaani mimi mpaka muda huu naogopa nunua simu hapa kwetu sababu ya uchakachuaji. Hicho kiwanda cha weza kuwepo kweli, bongo ni hatari.
 
lain za voda michosho sana sikuhizi usipoweka vocha mwez ni kosa,chek na lain nyingine mkuu...
Si kweli,nimenunua pia Tecno P3 since monday na inapiga mzigo kama kawa tena wa hatari..
 
Back
Top Bottom