Mkuu fanya mpango uende kwenye maduka ya Nokia au kwenye ofisi za MIDCOM EA, utaipata oreginal kwa bei halali kabisa! Achana na bidhaa za mitaani, zitakugharimu zaidi!!
ahsante kwa kutambua hilo mkuu, bidhaa FEKI kwangu mwiko! Gd 9t.thanks mkuu naona hata id yako unapambana sana na vitu vya feki safi sana.. ntaenda kesho..