Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,984
- Thread starter
- #41
kweli kaka ume ni alart kitu cha maana sanapole sana, kuwa makini inawezekana huyo mchumba wako ame sex na mtu mwingine na pengine anahisi amepata mimba sasa anataka ukisha sex nae , akuambie kua wewe ndiye mwenye hio mimba, mchumnguze vizuri.